Kwanini PILIPILI hazioshwi sehemu za maakuli?

Makindi N

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
1,066
173
Naombeni kuuliza, sijui ni mm tu ninae-experience hiyo kitu au uzee macho hayaoni....... Ukienda mgahawani, hotel (za uswazi na hadhi kidogo, sijui za hadhi za juu maana sijawahi enda huko), restaurant, cafeteria, bar, kwenye mishkaki viosks - kifupi sehemu za maakuli, PILIPILI kwanini hawaoshi. Tena utakuta zipo tu kwenye mfuko walionunulia - unakatiwa nyama, au unapakuliwa msosi, pilipili inatolewa kwenye mfuko au chombo walimohifadhiwa na kukatwa na kuwekwa kwenye sahani. Kutoosha kunaongezaga ukali au?
 
Back
Top Bottom