Kwanini pesa ndo itawale Dunia kuliko akili?

Kwanini pesa ndo itawale Dunia kuliko akili?

Julius Husseni

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
1,435
Reaction score
1,195
Yani akili ndo imeunda pesa Lakin kwa Sasa kama huna pesa na una akili we si lolote katika ulimwengu huu.

Ipo mijadala kadhaa kua kwa Sasa licha ya akili ndo imeunda pesa lakini wale watu maginius duniani kwa sasa hawavumi kwa sababu wamemezwa na pesa.

Kwa ndugu msomsji wa makala hii fupi jua kua kama huna pesa na unaijua ni ginius huna lolote.

Hata hivyo kwa nini akili isijitutumuee upya ikarejesha heshima yake?

Karibu kwa mjadala
 
Akili (mind) haipo kwa ajili ya pesa tu. Ina mambo mengi sana ya kufanya ikiwemo kujadili mjadala kama huu.

Hilo pekee ni uthibitisho wa kipi ni mtawala.
 
Pesa ni maisha na ni hitaji la millions tunatumia akili kupata pesa na sio pesa kupata akili then who is who
 
Pesa ndio medium of exchange,kwaiyo chochote unachohitaji kama n material,pesa ndio itahusika,unapohitaji chakula,mavazi,makazi,matibabu n.k pesa ndio inahitajika.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Ni Tanzania tu ambapo watu low IQ wanakuwa matajiri, lkn Dunia nzima au atleast nchi zilizoendelea High IQ people ndio wanakuwa na matajiri.

Tanzania ni kinyume hauhitaji high IQ kufanikiwa kimaisha Uongo, Majungu na Ulaghai vinatosha.
 
Yani akili ndo imeunda pesa Lakin kwa Sasa kama huna pesa na una akili we si lolote katika ulimwengu huu.

Ipo mijadala kadhaa kua kwa Sasa licha ya akili ndo imeunda pesa lakini wale watu maginius duniani kwa sasa hawavumi kwa sababu wamemezwa na pesa.

Kwa ndugu msomsji wa makala hii fupi jua kua kama huna pesa na unaijua ni ginius huna lolote.

Hata hivyo kwa nini akili isijitutumuee upya ikarejesha heshima yake?

Karibu kwa mjadala
TUTAFUTE PESA TUKOSE MUDA WA MAKASIRIKO KAMA HAYA
 
Back
Top Bottom