Kwanini penzi likiwa jipya linanoga mno?

Magoya2000

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2017
Posts
641
Reaction score
1,266
Wasalamu wajameni! Maisha ni Raha sana Endapo utaishi bila ya stress.

Mnamo Augost 2022 niliopata baby mama mpya, yaani penzi lilikuwa la kunoga mno. Tunaweza kuongea na simu usiku kucha mpaka panapambazuka. Kuna siku tuliongea kuanzia saa 3 usiku mpaka saa Moja asubuhi. Uzuri nimejiajiri hivyo job nikaingia saa 4.

Nilihisi Ili penzi la agape maana nilijua mtu tunapendana ukweli, baadae nikagundua ni penzi jipya tu. Ikafika kipindi mawasiliano yakaanza kupungua mpaka December tukapigana chini.

January nimepata baby mama mwingine, yaani kila muda mapenzi motomoto. Kweli penzi jipya linanoga. Hivyo nashauri kama unataka kuenjoy maisha anzisha penzi jipya utaona kunoga.

Je, wewe una experience gani kwenye penzi jipya?
 
Wataalam wa kisaikolojia wanasema furaha ya Binadamu kwenye jambo lolote lile hua haizidi kwa kipindi cha miezi mitatu,

Baada ya muda huo kupita basi jambo hilo lililokupa furaha utaanza kuliona ni la kawaida tu.
Ukweli mkuu! Kikubwa mtu kujipenda mwenyewe tu. Kula vizuri Fanya mazoezi enjoy life. Mapenzi yananoga likiwa jipya tu
Hivyo vijana wanatakiwa kujua kuanzisha mahusiano Mapya baada ya penzi kufa sio kung'ang'ania kama ruba.
 
Wataalam wa kisaikolojia wanasema furaha ya Binadamu kwenye jambo lolote lile hua haizidi kwa kipindi cha miezi mitatu,

Baada ya muda huo kupita basi jambo hilo lililokupa furaha utaanza kuliona ni la kawaida tu.
Ndo maana hupaswi kutafuta furaha kwenye vitu ama materials.. furaha ya kweli ni ile ya ya asili ya ndaniii ya nafsi yako ambayo haitegemei vitu..
 
Wataalam wa kisaikolojia wanasema furaha ya Binadamu kwenye jambo lolote lile hua haizidi kwa kipindi cha miezi mitatu,

Baada ya muda huo kupita basi jambo hilo lililokupa furaha utaanza kuliona ni la kawaida tu.
Kwa uchumi sasa, wataalam wa mambo ya uchumi tunasema tunaiweka hii kwenye theory ya marginal utility

Ya kwamba marginal utility unapokitumia kitu fulani au kukizoea hicho kitu basi ndiyo hamu inapopungua,mfano una hamu na soda ya baridi fanta pale unapo anza kunywa moja inapunguza hamu, ukienda ya pili hamu inapungua zaidi ukifika soda ya tatu unakinai kabisa na huenda usimalize chupa yani hutamani kabisa, na kwa halikadhalika kwa mapenzi pia mnapozidi kuishi pamoja kuna hamu inapungua ndiyo maana vijana wenye ndoa wachepukaji,wakichepuka wanaweza piga round tatu hadi nne kwa mchepuko ilihali kwa mke wake kimoja tu chali na asiendelee kabisa ngoma haisimami
 
Wasalamu wajameni! Maisha ni Raha sana Endapo utaishi bila ya stress.

Mnamo Augost 2022 niliopata baby mama mpya, yaani penzi lilikuwa la kunoga mno. Tunaweza kuongea na simu usiku kucha mpaka panapambazuka. Kuna siku tuliongea kuanzia saa 3 usiku mpaka saa Moja asubuhi. Uzuri nimejiajiri hivyo job nikaingia saa 4.

Nilihisi Ili penzi la agape maana nilijua mtu tunapendana ukweli, baadae nikagundua ni penzi jipya tu. Ikafika kipindi mawasiliano yakaanza kupungua mpaka December tukapigana chini.

January nimepata baby mama mwingine, yaani kila muda mapenzi motomoto. Kweli penzi jipya linanoga. Hivyo nashauri kama unataka kuenjoy maisha anzisha penzi jipya utaona kunoga.

Je, wewe una experience gani kwenye penzi jipya?
Kama unaniongelea mimi.
Tulikua tunaongea bila kikomo.
Nilipewa ahad kubwa kubwa mimi.
Na mim kwa kulewa penz nilikua naamin tu.
Pale ubongo ulipotuma notification kuwa unadanganywa niliupuuzia.
Akiongea nasisimkwa.
Akicheka nakuwa kama nimepigwa shoti kali za umeme.
Akisema "nakupenda" pumz zinakata nahema kwa shida.
Kwa raha zile nikapanga kuacha vyote nimfuate nikiamin raha zile zitakua za milele.
Bado nampenda kama mwanzo,bado akicheka napigwa shoti na Mungu wake akimuongoza akatimiza ahad zake hakika atakua mmoja wa raia wenye bahati.
Penzi jipya lina mbwembwe.
 
Kama ulikuwa unampenda kweli ungefight for your love. Real love never died!
 
Unafaitia vp penz?
Mapenz yakiwepo unaona tu automatcally kuwa ninapendwa.
Yakiisha pia unaona na kama mtu hana tena hisia na wewe ukijitia ku fight for love unakua kero kwake.
Nimebarikiwa vitu vingi kwenye maisha yangu vya kutosha kufurahia maisha so kuwa king'ang'anizi ni kumkosea Mungu shukrani.
Nachojua mim nampenda ila kumfanya aendelee kunipenda iko nje ya uwezo wangu.
 
Huwa mapenzi yapo hivi. Kuna wkt watu wanapendana sana na kuishi vizuri. Kuna wakati wanachokana. Hivyo uvumilivu ndo unasababisha wengi wanabaki kwenye uhusiano. Otherwise utakuwa Kila siku unaanzisha mahusiano Mapya tu. Mapenzi kama maji ya bahari Kuna kupwa na kujaa hivyo ukubali vipindi vyote vitokee kwako.
 
Uko sahihi mkuu.
Na ikifikia stage hiyo una invest nguvu kwenye kuongeza kipato.
Honestly,pesa ndo mbadala wa mpenz asiyeeleweka.
Mbaya ni pale huna hela halafu na mpenz haelewek hapo lazima Depression ihusike.
 
Wanaume wengi wao wanachopenda kwenye mahusiano ni Amani ya moyo, sio uzuri, sio pesa wala sio status. Shida wengi hakuna chemistry kwenye mahusiano ndo maana pesa inachukua nafasi. Mapenzi ya pesa ndo habari za Sasa. Huna pesa lakini mapenzi ni zaidi ya pesa. Kuna wkt mtu anatafuta tu mtu wa kumpa attention Ili apate furaha ya maisha yake.
 
Hapo kwenye chemistry sasa mkuu.
Hiyo huwa inatokea tu mkuu.
Mnajikuta kila mtu anaona mwenzie ndio kila kitu.
Kama .Chemistry ipo you wont fight for love.

Kama haipo ndo hivyo unajikuta unafaitia kitu isiyotakiwa kufaitiwa.

Mapenzi ni matamu kuliko pesa kama wote mnapendana ila kama mmoja haeleweki pesa zina uwezo mkubwa wa kufariji.

Ukiwa busy kutafuta au kuspend hela zako hata muda wa kuwaza kapiga au kaandika huna.

By the way ukiwa na vijisent huwez kukosa mtu wa kum replace mtu bana.
 
Wasalamu wajameni! Maisha ni Raha sana Endapo utaishi bila ya stress.

Mnamo Augost 2022 niliopata baby mama mpya, yaani penzi lilikuwa la kunoga mno. Tunaweza kuongea na simu usiku kucha mpaka panapambazuka. Kuna siku tuliongea kuanzia saa 3 usiku mpaka saa Moja asubuhi. Uzuri nimejiajiri hivyo job nikaingia saa 4.

Nilihisi Ili penzi la agape maana nilijua mtu tunapendana ukweli, baadae nikagundua ni penzi jipya tu. Ikafika kipindi mawasiliano yakaanza kupungua mpaka December tukapigana chini.

January nimepata baby mama mwingine, yaani kila muda mapenzi motomoto. Kweli penzi jipya linanoga. Hivyo nashauri kama unataka kuenjoy maisha anzisha penzi jipya utaona kunoga.

Je, wewe una experience gani kwenye penzi jipya?
Uhakika siyo, kila baada 3 months una mali mpya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom