DR.RWEYENDERA
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 403
- 386
Miongoni mwa sababu ambazo watu wanadhani zilinfanya magufuli aingie Ikulu
Kutokana na watu wengi kila mmoja kujiuliza hasa nisababu zipi aliambiwa pasco wa jamiiforums mwaka 2014 kuwa lazima mgombea wa CCM 2015 ni JOHN POMBE MAGUFULI , naye amezificha sana na kwenye thread yake alionekana kuzishangaa zile sababu, lakin nahisi kati ya hizi hapa chini kuna miongoni,
1. Tanzania ilikuwa imekuwa ya mazoea ilihitaji rais MWENYE hurka ya udikteta kwenye masuala muhim hasa ya maendeleo, rushwa na uwajibikaji
2. Mzee kikwete na mkapa walijuta na kutambua madhara ya mtandao kuaandaana kuingia Ikulu hivyo wakamuandaa Magufuli kimyakimya ili kuondoa ukakasi wa wenye mitandao yao kuingia ikulu?
3. Labda ni kwakuwa kanda ya ziwa iliyokuwa ngome ya CCM ilishaanza kuingiliwa na CHADEMA ,wakaamua watumie turufu ya mtu kutoka uko ili wakazi wa kule wengi wampigie kura kuinusuru CCM
4.Au labda wanachama wengi wa CCM walioonekana kutaka uongozi hawakuwa wasafi na ingekuwa ngumu kuwanadi kuliko kumnadi Magufuli?
5. Naamini wapo wanaoamini Mkapa ndiye amesuka mpango huu wa siku nyingi kutokana na urafiki wake na Magufuli ambao ukisababishwa na Mdogo wake mkapa kwa Magufuli classmate wake KATOKE seminary,
6. Wengine wanahisi ilikuwa chaguo La kikwete na mkapa kuwa tumuweke magufuli ili akiingia awashughulikie mafisadi ila sisi asituguse na tunamuonya mapema, mambo ya meremeta, na mengine yanayo wahusu yasiguswe,
7. Wapo wanaoamini utendaji wa magufuli ndio umemfanya aonekane anafaa kuongoza taifa ili maana ana rekodi kuzidi mawaziri wote waliowahi kutokea Tanzania,
8. Wapo wanaoona kwakuwa Magufuli anaonekana hapendi safari za nje si kwa kujitakia ila ni mpango na kikwete kwamba kamuweka ili yeye aendelee kupiga kazi za ndani kikwete aendelee kukwea pipa kimataifa,
9. Wengine wanaamini hakukuwa na mpango wowote ila tu alijaribu kama wanachama wengine ambao walijaribu ila yeye akabebwa na rekodi yake ya utendaji,
We unahisi hapo juu kuna sababu yeyote ambayo pasco aliambiwa akaificha hataki kutwambia?
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli