Kwanini paracetamol hutumika kupunguza maumiv na sio kutibu.

stable

JF-Expert Member
Apr 21, 2012
304
439
Wataalammu wa Afya naombeni kufahamu hii dawa paracetamol au pain killer. Ni kwanini hutumika kumaliza maumivu na si tiba.

Na kwanini imalize maumivu isitumike kutiibu kabisa, ?? Nashindwa kuelewa kutoa maumivu na kutibu. Na chaajabu hutumika almost kwa magonjwa yote. Karibuni tufahamishwe
 
Paracetamol, aspirin na vituliza maumivu vingine (painkillers) haziponyi magonjwa bali hupunguza maamivu kwa muda, kwanini?

Painkiller km paracetamol zimetengenezwa kitaalamu kuingilia (interfere) na kuzuia (to block ) njia (channels) na vitoa taarifa (signals) vya ubongo. Hivyo paracetamol inazuia ubongo kutoa tafsiri ya maumivu, hivyo mgonjwa kutokuhisi maumivu hadi muda wa zile dawa kuisha nguvu ndipi ubongo unaendelea na kazi yake yakutafsiri na kutoa taarifa juu ya sehemu za mwili zenye hitilafu.

Ukitumia paracetamol au kidhibiti maumivu chochote (painkillers) usisahau kwenda hospitali kwakudhani umepona!
 
Dah. Asa

Asante mkuu.

Hili ni somo kubwa sana tunapaswa kujua. Watu hukimbilia kumeza dawa za maumivu kisha wanasahau kwenda hospital kwa uchunguzi zaidi.
Mungu kubariki kwa somo ulotoa.
 
Naam ni muhimu sana kwenda hospitali, kwani ukitumia painkiller inapumbaza tuu signal za ubongo wako usiweze kutoa taarifa za maumivu na pindi dawa zinapoisha nguvu mgonjwa ataendela kuyaskia maumivu
 
Paracetamol, aspirin na vituliza maumivu vingine (painkillers) haziponyi magonjwa bali hupunguza maamivu kwa muda, kwanini?

Painkiller km paracetamol zimetengenezwa kitaalamu kuingilia (interfere) na kuzuia (to block ) njia (channels) na vitoa taarifa (signals) vya ubongo. Hivyo paracetamol inazuia ubongo kutoa tafsiri ya maumivu, hivyo mgonjwa kutokuhisi maumivu hadi muda wa zile dawa kuisha nguvu ndipi ubongo unaendelea na kazi yake yakutafsiri na kutoa taarifa juu ya sehemu za mwili zenye hitilafu.

Ukitumia paracetamol au kidhibiti maumivu chochote (painkillers) usisahau kwenda hospitali kwakudhani umepona!

Mhh,mkuu wewe ni daktari kweli?Hivi ndivyo Aspirin na Paracetamol zinafanya kazi?
 
Wataalammu wa Afya naombeni kufahamu hii dawa paracetamol au pain killer. Ni kwanini hutumika kumaliza maumivu na si tiba.
Na kwanini imalize maumivu isitumike kutiibu kabisa, ?? Nashindwa kuelewa kutoa maumivu na kutibu. Na chaajabu hutumika almost kwa magonjwa yote. Karibuni tufahamishwe

Maumivu sio ugonjwa.Ni ishara ya ugonjwa .Tukiutibu huo ugonjwa maumivu pia huondoka.Wakati tunautibu ugonjwa uletao maumivu tunayatuliza yasiendelee kumtesa mgonjwa

Mfano:Mtu ana malaria.Anapata maumivu ya kichwa.Panadol inatuliza maumivu ya kichwa na ALU inaua parasite wa malaria.Malaria ikipona hakuna tena maumivu
 
Uko mbali sana na swali la Mdau, jamaa anataka kujua mechanism ya ufanyaji kazi wa Paracetamol!
 
Mimi ni daktari ndio na ninakubaliana na critiques za kitaalamu, karibu sana

Ngoja niseme ulikua unamuelezea layman ndio maana ukatumia hiyo lugha lakini najua unajua NSAIDs hazifanyi kazi kwa kuingilia signal transmission in the brain

Zipo zinazofanya hivyo ila sio aspirin na paracetamol
 
Nadhani Mkuu hujanielewa vyema, sijasema zinaingilia signal kwenye ubongo bali nimesema, zinablock hizi kemikali/homone za mwili zinazobeba taarifa (prostaglandins) zishindwe kusisimua peripheral pain receptors zishindwe kutuma taarifa za maumivu kwenda kwenye CNS.

Hata hivyo kuna Painkillers nyingine ambazo zinatumika kutuliza maumivu makali sana mf. ya kwenye mishipa mfano ni narcotic opioid drugs. Hizi ni heavy duty drugs k.v morphine and codeine zinatumika kutibu maumivu makali sana ya mwili (severe pain) hizi dawa zinablock sio tu prostaglandins bali hata homoni inayobeba taarifa za mwili (Neurotransmitter) ishindwe kupeleka taarifa za maumivu ubongoni.

Hizi ni hatari maana wakati mwingine km zitatumiwa bila ushauri sahihi Wa daktari zinaweza kusababisha vijitabia vya ajabu ajabu kwa mgonjwa.
 
Maumivu sio ugonjwa.Ni ishara ya ugonjwa .Tukiutibu huo ugonjwa maumivu pia huondoka.Wakati tunautibu ugonjwa uletao maumivu tunayatuliza yasiendelee kumtesa mgonjwa

Mfano:Mtu ana malaria.Anapata maumivu ya kichwa.Panadol inatuliza maumivu ya kichwa na ALU inaua parasite wa malaria.Malaria ikipona hakuna tena maumivu
Kwa hiyo hizo painKiller ni kama pombe kutuliza stress
 
Paracetamol, aspirin na vituliza maumivu vingine (painkillers) haziponyi magonjwa bali hupunguza maamivu kwa muda, kwanini?

Painkiller km paracetamol zimetengenezwa kitaalamu kuingilia (interfere) na kuzuia (to block ) njia (channels) na vitoa taarifa (signals) vya ubongo. Hivyo paracetamol inazuia ubongo kutoa tafsiri ya maumivu, hivyo mgonjwa kutokuhisi maumivu hadi muda wa zile dawa kuisha nguvu ndipi ubongo unaendelea na kazi yake yakutafsiri na kutoa taarifa juu ya sehemu za mwili zenye hitilafu.

Ukitumia paracetamol au kidhibiti maumivu chochote (painkillers) usisahau kwenda hospitali kwakudhani umepona!
samahani nina swali pia..
kipi kinafanya dawa iende sehemu husika kwenye mwili(panapouma) au husambaa mwili wote..?
 
Hii ni Chemistry ya kitaabibu, mechanism ni ndefu ila nitakuelekeza kwa ufupi.

Dawa unapomeza, ama kutundikiwa, inapenya kwa kufyonzwa na kuingia kwenye membrane mbali mbali za oragan na tissue, kisha kwenye mfumo Wa damu, hormone zinazohusika na mabadiliko ya mwili zinapokea nakupeleka sehemu husika(panapoumwa) lakini haimanisha dawa yote unayotumia inaenda sehemu moja, hapana, dawa zinasambazwa kwa kiwango kidogo kidogo kwenda kila sehemu ya mwili hadi pale itakapopata tatizo. Inagawanjwa katika viwango vidogovidogo sana ila sio lazima viwango vilingane.

Angalizo: Dawa yote unayitumia ingekuwa inaenda srhemu husika yenye tatizo maana yake mtu angekuwa anapona kwa muda mfupi na kwa kiwango kidogo cha dose. Kwakuwa inasambazwa hata sehemu nyingine ambazo haziumwi ndio maana mtu hupewa dawa atumie kwa siku kadhaa.

Tofauti na minyoo ambazo hukaa kwenye tumbo au utombo, mtu akipewa dawa zinaenda direct kukutana na wadudu na ndio maana dose yake ni simple.
 
Asprin Says Thank You Vella For This Useful Post.
 
Nadhani Mkuu hujanielewa vyema, sijasema zinaingilia signal kwenye ubongo bali nimesema, zinablock hizi kemikali/homone za mwili zinazobeba taarifa (prostaglandins) zishindwe kusisimua peripheral pain receptors zishindwe kutuma taarifa za maumivu kwenda kwenye CNS.

Hata hivyo kuna Painkillers nyingine ambazo zinatumika kutuliza maumivu makali sana mf. ya kwenye mishipa mfano ni narcotic opioid drugs. Hizi ni heavy duty drugs k.v morphine and codeine zinatumika kutibu maumivu makali sana ya mwili (severe pain) hizi dawa zinablock sio tu prostaglandins bali hata homoni inayobeba taarifa za mwili (Neurotransmitter) ishindwe kupeleka taarifa za maumivu ubongoni.

Hizi ni hatari maana wakati mwingine km zitatumiwa bila ushauri sahihi Wa daktari zinaweza kusababisha vijitabia vya ajabu ajabu kwa mgonjwa.
Asprin Says Thank You Vella For This Useful Post
 
NITAELEZEA KWA KIFUPI SANA ILA NATARAJIA KUELEWEKA

Katika miili yetu, Kuna kemikali za aina tofauti tofauti ambazo zinasababisha mtu aweze kusikia maumivu.... Mfano WA kemikali hizo ni

Bradykinin
Serotonin
Histamine
Potassium ions
Proteolytic enzymes
Prostaglandings ( ambazo zimetokana Na kuvunjwa vunjwa kwa Arachinoid acid)

Sasa ili mtu aweze kuhisi maumivu , ni lazima taarifa zisafirishwe kuelekea kwenye ubongo kupitia vichochezi au NERVES (peripheral nervous system) ambazo hupita kwenye uti WA mgongo (spinal cord) kuelekea kwenye UBONGO ambapo taarifa za maumivu hutafsiriwa ....,

NINI KINATOKEA BAADA YA KUMEZA DAWA ZA MAUMIVU???

Dawa za maumivu, hufanya kazi kubwa ya kuzuia taarifa kusafiri kuenda kwenye ubongo ambapo huko hutafsiriwa Na kumfanya mtu asiweze kuhisi maumivu...
 
Back
Top Bottom