Nakubaliana na wewe kwenye swala la utofauti wa idadi ya jeshi na raia lakini hatua iliyochukuliwa inaonesha ni kama vile jeshi lilichukua hatua ambayo ingechukuliwa muda mrefu, kwanini iwe sasa?Jiulize kuna wanajeshi wangapi kulinganisha na idadi ya raia? Raia wakikinukisha unafikiri jeshi litaweza kuwadhibiti?
Wanaanza raia, mambo ya kikolea na wanajeshi wanakumbuka mara yao ya mwisho kuongezewa mshahara, kipata sare mpya, makazi duni. Na wao wanaunga tera.
Kwanini hakuamua kuachia ngazi, ukizingatia kuwa kuna watu wake ambao walikuwa na uwezo wa kumwambia kuwa yuko hatarini kiasi gani? Angalia anachokipitia sasa.Kuna kitu kilifukuta ndani kwa ndani kwa siku nyingi kama unakumbuka alibadilisha wakuu wausalama kipindi flani, alianza kuhisi mambo kumwendea kombo sasa nafikiri hapo ndipo siri zake nyingi zilivuja hapo ndio ikawa rahisi sana kumshugulikia,na ukumbuke anashida ya kutokuwa na sehemu ya kukimbilia kwaajili ya kuogopa wakubwa mahakama ya kimataifa wasimdake.
Shida hakuamini mtu na wala watawala wenzake hakuwaamini ,sasa angengatukaje?akaona ngoma aichezee hapo hapo akiwa madarakani sasa kachanga karata vibaya ndio zimemdodea sasa.Kwanini hakuamua kuachia ngazi, ukizingatia kuwa kuna watu wake ambao walikuwa na uwezo wa kumwambia kuwa yuko hatarini kiasi gani? Angalia anachokipitia sasa.
I think the population were tired of the hardships caused by international economic suctions, Omar was needed by Human Right Court for some time now.Nakubaliana na wewe kwenye swala la utofauti wa idadi ya jeshi na raia lakini hatua iliyochukuliwa inaonesha ni kama vile jeshi lilichukua hatua ambayo ingechukuliwa muda mrefu, kwanini iwe sasa?
Kwa Nini iwe SasaNakubaliana na wewe kwenye swala la utofauti wa idadi ya jeshi na raia lakini hatua iliyochukuliwa inaonesha ni kama vile jeshi lilichukua hatua ambayo ingechukuliwa muda mrefu, kwanini iwe sasa?
inawezekana usimuamini mtu lakini ukaamini instincts zako.Shida hakuamini mtu na wala watawala wenzake hakuwaamini ,sasa angengatukaje?akaona ngoma aichezee hapo hapo akiwa madarakani sasa kachanga karata vibaya ndio zimemdodea sasa.
Wakati sahihi kwa mujibu wa nani?Kwa Nini iwe Sasa
Kwa sababu ndo wakati sahihi wa hili kutokea
Kwani wewe ulitaka iwe lini?Wakati sahihi kwa mujibu wa nani?
Walisha mchoka utakuta wasaidizi wake walishiriki kutoa mwongozo wa jinsi ya kufanikiwa. Kmb yale ya kagame na fred rigwema mirama hillSo vyanzo vyake havikufanikiwa kunasa hiyo mipango ya muda mrefu dhidi yake?
Kwa Nini iwe Sasa
Kwa sababu ndo wakati sahihi wa hili kutokea
Nitake mimi kama nani?Kwani wewe ulitaka iwe lini?