Kwanini nzi wanamjia mtu mgongoni?

Trainee

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
3,115
Reaction score
4,228
Naongelea hususani wakati wa asubuhi, kwa wale ambao wametokea uswazi mnanielewa kukiwa na umande umande unaamka zako asubuhi sana unaenda shambani au shuleni maybe, basi unashangaa huko nyuma mgongoni wajumbe nzi kibao wamekuganda kila kona unayoingia. Enzi hizo tulikuwa tukitaniana kuwa ni kutokana na kutokujisafisha vizuri mwili hasa pale mtu anapotoka haja kwahiyo nzi wanafuata harufu ya mavi lakini nimekuja kugundua sivyo!

Naomba ufafanuzi hali ile inatokana na nini
 
Kama eneo unaloishi asubuhi linakua na umande, maana yake ni eneo lenye ubaridi, na inzi ni mhanga wa hali hiyo

Hivyo huwa wanapasha mwili moto
 
Eti umegundua!! Sasa unauliza nini.? Si utupe huo ugunduzi wako nasi tujua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…