Kwanini Nyerere aliogopa kusema CCM itaoza kuanzia ndani akasema Mapinduzi yatatoka ndani ya CCM?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Nyerere alikuwa ni mtu wa kusoma sana habari za wengine,kwa vile alikuwa mjamaa na alipenda nchi ya kijamaa..nchi ambayo watu wanapimiwa uhuru wa fikra kwa kijiko,uhuru wa habari kwa kijiko.Yeye na CCM yake walitengeneza taifa ambalo vyombo vya dola na vitengo ndio wakwa km moderator wa uhuru,fikra na habari gani watz waione.

Moderator mkuu akiwa Nyerere...Nyerere alijua day sare coming CCM itajikuta wana too much with too little ability to moderate anything.Yeye akiwa km moderator alipea unalimited space kujua na kuona kila kitu ...nikisema hivyo namaanisha hata wale jamaa wa taifa w akukagua sinema,wao huwa wanaruhusiwa kuangalia movie zote zikiwepo porno n awanangalia tena sana.. ili na kwa kisingizio kwamba wanaangalia km zinafaa au lah.[br]Nyerere alijua kabisa dunia inajua njia salama kabisa ya kupasua dola la kijamaa,dola lisilo na Mungu ni kuwapa watu mwanga wa kupata habari, mwanga wa kuwaonyesha upande wa pili.

Nyerere alijua kabisa kwamba USSR haikuvunjika kwa sababu mapinduzi yalitoka ndani..ila ujamaa ulioza sana kutokea ndani..hata wale waliokuwa wanalinda ujamaa walijitambua kwamba walikuwa ktk msongo mkubwa sana wa mawazo na kifungo..Yaani km askazi magereza naye ni mfungwa....mwalimu aiogopa sana kusema CCM itaoza na kutokea ndani na ikifika nje ni km mzoga uliooza.

Mwalimu ALIOGOPA SANA KUSEMA CCM ITA IMPLODE KWA VILE ANGEONEKANA KUWAUNGA MKONO ALIOWAITA MABEBERU AKAISHIA KUSEMA UJAMAA UMESHINDWA KAMA UKRISTU HALFU AKAFUNIKA ZAIDI ILI ASIONEKANE KWAMBA ALIKUWA ANAONGEA ALICHOKIONA WAKATI ANA MODERATE FIKRA ZA WATANZANIA NA KUSEMA "MAPINDUZI YA KWELI YATATOKA CCM".

Ukweli ni kwamba aliogopa kusema CCM inatoza tokea ndani
 
Its funny kwani watu wengi wanaweza wasiamini CCM inaweza potea ghafla kabla ya uchaguzi ..wana CCM ,wana Kitengo na hata vibarua wa ccm km Nape wanaweza soma habari wakiwa ktk kazi kwamba CCM haipo tena?Au wakajikuta wanafuatwa na umati wa watu wakidhani wanakuja jiunga na CCM kumbe wanakuja wafagia ili wafikishwe kwa pilato.
 
Kinachotokea CCM sio mapinduzi ila watu wamekimbia uozo na hatari ya kuangukiwa na nyumba.
 
Nyerere alijua kusema kwamba CCM ita vunjika yenyewe ni too painful..akamua jidanganya kuwa siku moja inajibadilisha na kuwa na democrasia fulani mwisho iweze ingia kizazi kipya kwa kuwa ktk makundi yaliyokomaa.Rohoni alijua ni impossible ila akajaribu kuipa jina Zuri kuwa MAPINDUZI YA KWELI YATATOKA NDNAI YA CCM. Ukweli ni kwamba CCM ni km pressure cooker na yenye giza,watu walipopewa fresh air,mwanga ,wakajitambua na kupata mifano hai basi itakuwa ni mwisho wa kushikilia kuta za CCM ...ndicho kilichotokea.WanaCCM wametoka na si kuanzisha chama kipya ila walikimbilia chama kimoja CHADEMA walichokijua kuwa ndicho kina mwanga..walipoona kuna space na walipozidi pata hewa,ufahamu na mwanga kadiri wanavyokielekea.
 
Bahati mbaya sana CCM nao hawakuwa na watu wenye akili sana.wakabaki wakirudiarudia km kasuku kwamba upinzani wa kweli utatoka CCM na si kwamba CCM inaanza oza tokea ndani na watakaotoka watakuwa ni wale waliowahi kabla nyumba haijawaporomokea.
 
bangi za uchagani na gongo ya rombo ina matatizo. unapost mwenyewe na kujijibu makumi ya majibu. pumbavu zako. ukona hivyo ujue watu wanakudharau. vipi lakini, bado dada zako wanaingiza wanaume wa kukodi kwa ajili ya kuwasaidia jando la chumbani???
 
Mkuu naogopa kukupa like usije ukaniambukiza ban
 
Mkuu naogopa kukupa like usije ukaniambukiza ban
haha...hujakosea.Nilipigwa ban ya kushekesha ila nitafaya nini zaidi ya kuchekza sana hawa mods.Ngoja CCM iondoke mengi sana yatabadilika.
 
bangi za uchagani na gongo ya rombo ina matatizo. unapost mwenyewe na kujijibu makumi ya majibu. pumbavu zako. ukona hivyo ujue watu wanakudharau. vipi lakini, bado dada zako wanaingiza wanaume wa kukodi kwa ajili ya kuwasaidia jando la chumbani???
teh teh...km umeshindwa changia cha maana kuliko bangi na gongo ya rombo(Ingawa rombo nayo ni uchagani) ni wazi unavitukuza hivi vitu.
 
Nimesikiliza mzee butiku leo..kuna mengi kaongea kwa ujasiri kukemea..ingawa nadhani alikuwa na maumivu sana ya roho na huzuni ccm yake inakufa...Butiku kakiri CCM imeoza ndani.Ila Butiku hakuwajibika sana ...aliposema kwamba democrasia itatua..kwanini aliposema MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA YALISHINDWA KK CCM?KWANINI HAKWENDA MBALI NA KUJIULIZA KM NI JK PEKEE KASHINDWA AU NI PAMOJA NA CCM AMBAYO YEYE YUPO NDANI,NA HAKUTOA MAONI YAKE ILI MAISHA YAWE BORA KWA KILA MTZ?Mzee Butiku kaanza shambulia hela za Marekani km ndizo zinatufanya tuwe masikini,mzee si tuu kwamba anachukiamafanikio ya haraka na halali ila pai hayapendi.
 
unadhani ataweza kuja?km ingekuwa haiigusi ccm ila Nyerere angewahi...Atakuwa analia km Butiku..mzee anauchukia utajiri eti kwa sababu marekani iliutumia vibaya dhidi yake..ni wazi CCm hawana fikra za kumwachia host akaongeze damu.
 
Last edited by a moderator:
Ma CCM wenyewe km vile hawna akili timamu ya kufahamu kwanini ujamaa ni laana na unyonyaji mkubwa sana kwa raia inaowafanya masikini kila kukicha.Ujamaa ndio uliosababisha wananchi wake wapigwe hata risasi mara watakapotoka nje.Wajamaa wanajua wakitoka na kuiona dunian basi ujamaa km shetani hautokuwa tena na pa kudanganya.Ujamaa siku zote unajua raia wake wanatoroka nchi na si kwenda kutembea na kurudi...
 
CCM ni chama kisicho na utu.Mwalimu alikijua na kukiogopa.Alijua huwa uhuru wa fikra na kufikiri ni kazi ndio maana alitumia sana misemo ya namna namna ili kuwaonyesha kwamba wanahitaji badilika muda ukifika.Alijuwa kuna siku CCM italazimishwa kubadilika,ila wanazi wasiopenda tumia akili watakuwa na shari pale wenzaow atakapotoka na kufanya kinyume nao baada ya kupata mwanga.
 
Nyerere alikuwa ni mtu wa kusoma sana habari za wengine,kwa vile alikuwa mjamaa na alipenda nchi ya kijamaa..nchi ambayo watu wanapimiwa uhuru wa fikra kwa kijiko,uhuru wa habari kwa kijiko.Yeye na CCM yake walitengeneza taifa ambalo vyombo vya dola na vitengo ndio wakwa km moderator wa uhuru,fikra na habari gani watz waione.

Moderator mkuu akiwa Nyerere...Nyerere alijua day sare coming CCM itajikuta wana too much with too little ability to moderate anything.Yeye akiwa km moderator alipea unalimited space kujua na kuona kila kitu ...nikisema hivyo namaanisha hata wale jamaa wa taifa w akukagua sinema,wao huwa wanaruhusiwa kuangalia movie zote zikiwepo porno n awanangalia tena sana.. ili na kwa kisingizio kwamba wanaangalia km zinafaa au lah.[br]Nyerere alijua kabisa dunia inajua njia salama kabisa ya kupasua dola la kijamaa,dola lisilo na Mungu ni kuwapa watu mwanga wa kupata habari, mwanga wa kuwaonyesha upande wa pili.

Nyerere alijua kabisa kwamba USSR haikuvunjika kwa sababu mapinduzi yalitoka ndani..ila ujamaa ulioza sana kutokea ndani..hata wale waliokuwa wanalinda ujamaa walijitambua kwamba walikuwa ktk msongo mkubwa sana wa mawazo na kifungo..Yaani km askazi magereza naye ni mfungwa....mwalimu aiogopa sana kusema CCM itaoza na kutokea ndani na ikifika nje ni km mzoga uliooza.

Mwalimu ALIOGOPA SANA KUSEMA CCM ITA IMPLODE KWA VILE ANGEONEKANA KUWAUNGA MKONO ALIOWAITA MABEBERU AKAISHIA KUSEMA UJAMAA UMESHINDWA KAMA UKRISTU HALFU AKAFUNIKA ZAIDI ILI ASIONEKANE KWAMBA ALIKUWA ANAONGEA ALICHOKIONA WAKATI ANA MODERATE FIKRA ZA WATANZANIA NA KUSEMA "MAPINDUZI YA KWELI YATATOKA CCM".

Ukweli ni kwamba aliogopa kusema CCM inatoza tokea ndani

" Mwalimu ALIOGOPA SANA KUSEMA CCM ITA IMPLODE KWA VILE ANGEONEKANA KUWAUNGA MKONO ALIOWAITA MABEBERU AKAISHIA KUSEMA UJAMAA UMESHINDWA KAMA UKRISTU HALFU AKAFUNIKA ZAIDI ILI ASIONEKANE KWAMBA ALIKUWA ANAONGEA ALICHOKIONA WAKATI ANA MODERATE FIKRA ZA WATANZANIA NA KUSEMA "MAPINDUZI YA KWELI YATATOKA CCM"."

Acha kumwita Mwalimu muoga.
Alikuwa anaogopa nini?
Alikuambia kuwa anaogopa?
Mbona unatafuta kiki kupitia mgongo wa Nyerere?
Nyerere ni mmoja wa viongozi jasiri duniani ambao walikuwa hawaangalii sura.
 
Ccm oyeee hapa kazi tuuu huyo aliepost asijidai ana akili sana kumzidi nyerere na kingereza chake cha chooni #hapakazitu. ...nahisi umeamka hata mswaki haujapiga umeanza kukurupuka fungua kinywa kwanza mzeee
 
wengine tunapiga mswaki kabla ya kulala,na hatulali tukiwa tumevimbiwa kiasi cha kucheua uvundo...pole sana.
 
" Mwalimu ALIOGOPA SANA KUSEMA CCM ITA IMPLODE KWA VILE ANGEONEKANA KUWAUNGA MKONO ALIOWAITA MABEBERU AKAISHIA KUSEMA UJAMAA UMESHINDWA KAMA UKRISTU HALFU AKAFUNIKA ZAIDI ILI ASIONEKANE KWAMBA ALIKUWA ANAONGEA ALICHOKIONA WAKATI ANA MODERATE FIKRA ZA WATANZANIA NA KUSEMA "MAPINDUZI YA KWELI YATATOKA CCM"." Acha kumwita Mwalimu muoga. Alikuwa anaogopa nini? Alikuambia kuwa anaogopa? Mbona unatafuta kiki kupitia mgongo wa Nyerere? Nyerere ni mmoja wa viongozi jasiri duniani ambao walikuwa hawaangalii sura.
Haha...alijua nyumbu km nyie bila ccm mwenzenu kuwaambia kitu huwa hamsikilizi km nyumbu.Kwani unadhani woga ni lazima uwe ktk tishio,unaweza pia kuwa ktk hofu ya kupoteza wasioweza elewa ujumbe wako.
 
Umeandika post ya uongo.
Hizi porojo uwe unabaki nazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom