View attachment 469744 huyu mzee alikuwa hataki utajiri?
Mimi hii cm tu nnayotumia hapa ni mali yangu nikiambiwa ni orodheshe mali nilizokuwa nazo ni pamoja na hii cm itakuwa kwenye orodha ya mali zangu,Nyerere alikuwa na mali lakini kidogo jamaa kauliza kwa nini?Kichwa cha habari kinasema "Mbona hana mali nyingi" unaweza kututajia hizo chache alizokuwa nazo?
Huyu retirement home alijengewa na wananchi lakini wanamuenzi wanajenga airport kijijini kwao ndani ya mwaka mmoja madarakani.kuna majitu yanajifanya kumuenzi kumbe uongo mtupu mafisadi tu