Tushaulizwa swali kama Hilo na lecture wa economics kuuza Mali yako wakati wa shida ni way out ya kutatua tatizo linalo kukabili but unatakiwa ufanye uchambuzi je hio Mali yako ni asset or liability. Kama huna source of income simu especially smartphone ni liability coz yenyewe tu Ili kuzitumia unahitaji uwe na pesa ya kununua credit so kuuza ktk mazingira hayo ni swala ambalo ni zuri lakin kama wewe ni mkulima unapouza shamba mind that you made a wrong choice ko kama inatumia simu kupata kipato ni kosa vinginevyo ni sawaKumekuwa na mawazo mengi yanayotolewa hapa jukwaani na baadhi ya wadau kwa watu wenye uhitaji wa aina hiyo.
Moja ya wazo huwa najiuliza sana ni kwanini linatolewa sana ni hili.
Uza simu.
Uza simu kanunue karanga tembeza vyuoni na saiti.
Uza simu kanunue mitumba na viatu pale sijui wapi saa 12 asubuhi viatu ni 2000tsh/pair
Nakadhalika na kadhalika.
Swali langu je ni kweli kuuza simu ndo suluhisho?
Hakuna kazi zingine zisizo ingilia mawasiliano ya mtu?
Maanake kuna jamaa kauza godoro la sita kwa sita yale ya Dodoma kwa laki mbili kwa kuwa kapitia mpito sasa analala kwenye Chaga na pesa haijamsaidia bado anabangaiza godoro halina hata miezi mitatu
Nyoongeza hapo kaka "huwezi tatua tatizo Kwa njia zile zile zilizokuleta tatizo"Haikuhusu wewe mwenye smart kitochi,
Hiyo Ina maanisha Kama unamiliki cm ya laki tatu unaweza uza hata laki na nusu laki ikawa mtaji na hamsin ukawa na cm ndogo.
Ishu inakuja Kuna aina ya biashara kufanya inapaswa kuwa na roho ya paka hasa kwa Hawa watoto wanaotoka chuo wanaoambiwa wajiajiri.
Mkuu@kambaku naona umemjibu ipasavyo mtoa mada maana alichokiuliza kinaendana na IQ yake na uwezo wa kufikiri pia!![emoji16][emoji16][emoji16]We wala usiuze simu yako mkuu. We kaa nayo tu uwe unaomba omba vocha ukipata unatulia zako sebuleni kwa shemeji unaanza kutuma msg kwenye magrupu na JF unalalamika maisha magumu na unalalamika serekali haikujali na bila kusahau unalalamika huna mtaji.
Utauzaje simu?