Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,823
- 40,627
ngono sio pumzi kwamba bila hiyo huwez ishi..... unaweza...
Good....Naomba niku-pm mdogo angu, if you don't mind.
AsanteMungu akutie nguvu na usimame imara.
Kamwe ukimuamini Mungu hawezi kukupa kisicho bora, ila sawa sawa na haja ya moyo wako
Bado umri wako ni Mdogo, soma saana kwa bidii....kutimiza ndoto yako.
Asante nimekupm tayariNaomba niku-pm mdogo angu, if you don't mind.
Dogo Mgalala unauw Nguv fanya Ule Bupaa..I would rather mastrubate than sleeping with a woman
NimekuelewaFaida utakayopata Ni kua utakua na uthaman na mwili wako pamoja na heshima kubwa kwa mkeo na mungu pia,usiangalie watu wanasemaje angalia mungu anakujivuniaje kua na kijana km ww
kwahiyo unajizuia ni nini.? nyeto na kulala na mwanamke zote dhambi dogoI would rather mastrubate than sleeping with a woman
SawaDogo Mgalala unauw Nguv fanya Ule Bupaa..
kwahiyo unajizuia ni nini.? nyeto na kulala na mwanamke zote dhambi dogoI would rather mastrubate than sleeping with a woman
Asante mkuudhidi.kumuomba
mungu
but.n.vzr ukaokoka
kabisa.kwn.wng.dhambi.y.ngono.inawashinda.okoka.kijana.umeweza.kukontrol.tamaa.mwl
bas.utashinda.mungu.akupe.hy
neema