Rchesse
Member
- Apr 23, 2019
- 60
- 28
- Thread starter
- #61
Huo muongozo wa mwaka gani?.
Ili uchaguliwe tahsusi flani ni lazima uwe na grades kuanzia C au juu ya hapo. Huo ndo muongozo unavyosema huwezi kuwa na ccd ukachaguliwa advance
Ila mbona kuna wengine niliosoma nao wana D ya math na PHY lakini wamechaguliwa PCB na wengine CBG. Kama kuna mmoja ana matokeo kama yangu kasoro Civics na English tumepishana B kwa C vice versa, lakini kachaguliwa PCB.