Kwanini nimechaguliwa HGE. ?

Kwanini nimechaguliwa HGE. ?

Rchesse

Member
Joined
Apr 23, 2019
Posts
60
Reaction score
28
Nilipata div 2 ya 18 yaani:-

CIV - 'B'
HIST - 'B'
GEO - 'C'
KISW - 'C'
ENGL - 'C'
PHY - 'D'
CHEM - 'C'
BIO - 'B'
COMP STUD - 'C' B/MATH - 'D'

Niliweka PCB ya kwanza na ya pili na zilizofuata niliweka CBG zote. Lakni nashangaa nimechaguliwa HGE. Naona ni bora tu nikasomee IT au computer engineering kwasababu ipo moyoni na pia nina ujanja janja wa kurekebisha simu na computer upande wa software, yaani kuflash, kutoa FRP n.k. Nyie mnanishauri vipi wakuu.
 
Mi nakushauri kama kweli una uzoefu na kucheza na vifaa bora ukaanze diploma ya engineering ya mambo ayo....kwasab mwishowe utapitia advance na kupoteza muda wako tu

Asante kwa ushauri mkuu.
 
Nenda diploma ya eletrical, automobile, civil au mechanical ....huez kosa kazi kama lengo ni ajira...dit, nit, arusha au mbeya tech college.

Thank me later.
 
Nilipata div 2 ya 18 yaani:-

CIV - 'B'
HIST - 'B'
GEO - 'C'
KISW - 'C'
ENGL - 'C'
PHY - 'D'
CHEM - 'C'
BIO - 'B'
COMP STUD - 'C' B/MATH - 'D'

Niliweka PCB ya kwanza na ya pili na zilizofuata niliweka CBG zote. Lakni nashangaa nimechaguliwa HGE. Naona ni bora tu nikasomee IT au computer engineering kwasababu ipo moyoni na pia nina ujanja janja wa kurekebisha simu na computer upande wa software, yaani kuflash, kutoa FRP n.k. Nyie mnanishauri vipi wakuu.

Nilisoma hiyo course nikapoteza muelekeo kabisa bora nenda kasome computer science tofautisha IT na computer science ni vitu viwili tofauti
 
Umechaguliwa shule gani?
Hiyo shule inaweza kuwa na mchepuo wa CBG ili ukifika ubadilishe?

Kuna taratibu ya kuhama shule pia.

Wazazi wanaweza kukusomesha Private?

Option nyingine; unaweza kuomba vyuo vinavyotoa Diploma ya Afya (MUHIMBILI,KCMC,BUGANDO na vingine vya Serikali na Binafsi).
 
Mi nakushauri kama kweli una uzoefu na kucheza na vifaa bora ukaanze diploma ya engineering ya mambo ayo....kwasab mwishowe utapitia advance na kupoteza muda wako tu
Yaani achana na ADVANCE...UTAKUJA JUTA KWA MUDA UTAKAOPOTEZA...SHUKURU ALLAH HUJACHAGULIWA HAYO...MAANA UNGEANGUKIA PUA UNGECHAGULIWA...NENDA ZAKO DIT AU NIT AU MUST UKAENDELEZE FANI...UKIMALIZA KAZI NJE NJE...
 
Kijana unayoambiwa humu changanya na akili zako! Kuna watu waliofeli humu, waliokosa ajira, walio frustrated, wanasiasa uchwara, mabashite na kila aina ya mtu! Hakikisha hawakuvalishi viatu vyao au failures zao!!!

AKILI NI NYWELE KILA MTU ANA ZAKE!
 
Mada juu ya mada.

Mdogo wangu alipata three ya 23 ila selection zilizotoka, kapangiwa kusomea ualimu wa awali ngazi ya cheti chuo cha ualimu KABANGA-KASULU.Nimecheki joining instruction ya chuo kuna gharama kubwa sana za mahitaji+ ada.

Sasa nmeamua kuchenji gia angani ili kumsaidia dogo, nataka nimpeleke advance badala ya kwenda kusomea huo ualimu wa awali.
Je, nipo 'sawia'
 
Nilisoma hiyo course nikapoteza muelekeo kabisa bora nenda kasome computer science tofautisha IT na computer science ni vitu viwili tofauti

Kwahiyo computer science ndio bora zaidi.?
 
Umechaguliwa shule gani?
Hiyo shule inaweza kuwa na mchepuo wa CBG ili ukifika ubadilishe?

Kuna taratibu ya kuhama shule pia.

Wazazi wanaweza kukusomesha Private?

Option nyingine; unaweza kuomba vyuo vinavyotoa Diploma ya Afya (MUHIMBILI,KCMC,BUGANDO na vingine vya Serikali na Binafsi).

Nimechaguliwa shule ya kahororo-bukoba.
 
am I missing a point here..... siku hizi ukitoka form four unaenda Dip??
 
Mada juu ya mada.

Mdogo wangu alipata three ya 23 ila selection zilizotoka, kapangiwa kusomea ualimu wa awali ngazi ya cheti chuo cha ualimu KABANGA-KASULU.Nimecheki joining instruction ya chuo kuna gharama kubwa sana za mahitaji+ ada.

Sasa nmeamua kuchenji gia angani ili kumsaidia dogo, nataka nimpeleke advance badala ya kwenda kusomea huo ualimu wa awali.
Je, nipo 'sawia'
Comb gan?
 
Nilipata div 2 ya 18 yaani:-
CIV - 'B'
HIST - 'B'
GEO - 'C'
KISW - 'C'
ENGL - 'C'
PHY - 'D'
CHEM - 'C'
BIO - 'B'
COMP STUD - 'C' B/MATH - 'D'
Niliweka PCB ya kwanza na ya pili na zilizofuata niliweka CBG zote. Lakni nashangaa nimechaguliwa HGE. Naona ni bora tu nikasomee IT au computer engineering kwasababu ipo moyoni na pia nina ujanja janja wa kurekebisha simu na computer upande wa software, yaani kuflash, kutoa FRP n.k. Nyie mnanishauri vipi wakuu.
Pole sana kijana. huu ni upungufu mkubwa uliopo tamisemi, wanapiga chapuo watoto wasome sayansi na kudai ndiyo yenye uhitaji kwasasa lkn ajabu mtoto anafaulu masomo ya sayansi, na kwenye self form alijaza sayansi tupu halafu mwisho anakuja kuchaguliwa arts ili aje kuhangaika tena kuambiwa hayana kipaumbele cha mkopo,ajira na blaah blaah nyingi. Hapo chakufanya kuna njia mbili kama nia yako ni kufika advance: kama unajimudu wewe au mzazi toa kopi results slip yako iambatanishe kwenye barua fika nayo tamisemi dodoma kuomba ubadilishiwe comb stahiki kwako kwasababu sifa za kusoma PCB unazo, au cheki matokeo ya form six mwaka jana 2018 ya hiyo shule uliyochaguliwa uone kama walikuwa na PCB ili ukifika uombe kuhama comb japo wakuu wa shule wengi wanagomea hili.
 
Umechaguliwa shule gani?
Hiyo shule inaweza kuwa na mchepuo wa CBG ili ukifika ubadilishe?

Kuna taratibu ya kuhama shule pia.

Wazazi wanaweza kukusomesha Private?

Option nyingine; unaweza kuomba vyuo vinavyotoa Diploma ya Afya (MUHIMBILI,KCMC,BUGANDO na vingine vya Serikali na Binafsi).
Vp mkuu, pole na majukumu, hivi Kati ya ORDINARY DIPLOMA IN PHARMACEUTICAL SCIENCES na TECHNICAL CERTIFICATE IN PHARMACEUTICAL SCIENCES kipi bora kusoma ni hizi kozi Zina utofauti gani. Nawakilisha
 
Pole sana kijana. huu ni upungufu mkubwa uliopo tamisemi, wanapiga chapuo watoto wasome sayansi na kudai ndiyo yenye uhitaji kwasasa lkn ajabu mtoto anafaulu masomo ya sayansi, na kwenye self form alijaza sayansi tupu halafu mwisho anakuja kuchaguliwa arts ili aje kuhangaika tena kuambiwa hayana kipaumbele cha mkopo,ajira na blaah blaah nyingi. Hapo chakufanya kuna njia mbili kama nia yako ni kufika advance: kama unajimudu wewe au mzazi toa kopi results slip yako iambatanishe kwenye barua fika nayo tamisemi dodoma kuomba ubadilishiwe comb stahiki kwako kwasababu sifa za kusoma PCB unazo, au cheki matokeo ya form six mwaka jana 2018 ya hiyo shule uliyochaguliwa uone kama walikuwa na PCB ili ukifika uombe kuhama comb japo wakuu wa shule wengi wanagomea hili.

Asante sana. Ngoja niongee na mzazi nione anasemaje.
 
am I missing a point here..... siku hizi ukitoka form four unaenda Dip??

Wanaenda certificate mkuu basi tu naona wanachanganya changanya mambo
Diploma ni kwa yule alietoka form six au aliemaliza certificate
 
Mkuu unakosea. Kama mtu ana ufaulu mzuri anaenda Diploma moja kwa moja.
Mimi binafsi nilipomaliza form 4 Mwaka 2012 nilipata division 2 na nikaenda college 3yrs (Diploma in Water Quality Laboratory Technology). Hivi sasa nimeajiriwa shirika kubwa tu la serikali.

College kuna faida kuliko Advance
 
Back
Top Bottom