Kabla ya kuwa Rais wa Tanzania, alikuwa anasali st. PETERS, pia ni karibu na makazi yake ya siku zote. Sisi wakatoliki kuna kitu tunaita Jumuiya, ina maana unaposali kanisa fulani unatambulika kama mwanajumuiya wa sehemu fulani. Akisali st Joseph itabidi ahame jumuiya.