Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 24,052
- 71,361
Hahahahaha embu fikiria nakupenda kwa dhati, nategemea unanipenda pia, alafu mwisho unifanyie unyama ? Ninani wakua ktk sehem ya faida ?.daah sema hakyamungu, hata kutishia tu kujiua hutofanya? Vibaya hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu Wajifunze tu kuhimili Stress Mara wanapokutana na changamoto kama hizi maishani mwao..Mwanamke mkiachana huumia zaidi ya mwanaume.. Lakini huwahi kusahau sisi huwa hatuumii sana lakini tunachelewa kusahau hasa kama MTU mlizoeana sana.
Kwa kifupi kinachotesa wanaume ni mazoea, Ndo maana michepuko nu ya muhimu sana wakati mwingine
Mwanaume jitahidi uwe na mchepuko ndo maana wakaumbwa wengi zaidi yetu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa bear!!Katika mahusiano 90% ya wanawake wanakuwa na plan B ya nje hata kama hachepuki anajua kabisa kituo kinachofata ikitokea kuachana.
Kulalamika, kulialia na kuelezea watu matatizo yako hasa ya mapenzi ni udhaifu kwa mwanaume, alichokifanya huyo kijana ni fedhehaKwa sababu ninyi ni mabingwa wa kuficha hisia zenu, hata mkiachwa mnajitia wagumu kama hamjali vile wakati mmeumia mpaka mwisho. Mlimcheka sana yule baharia wa Hamida ila ile ni tiba kubwa sana ( sijasema wote mlie na kujigaragaza topeni).
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ushuzi huu dear!mi nakuacha!siwezi vumilia!!!SIKUAMINI NILIACHWA KIZEMBE SANA MAZEE HADI LEO NAUGULIA!KISA USHUZI WA VIAZI NA MAHARAGE!!!
Kwa hiyo ni bora ufe kuliko kufedheheka?Kulalamika, kulialia na kuelezea watu matatizo yako hasa ya mapenzi ni udhaifu kwa mwanaume, alichokifanya huyo kijana ni fedheha