Kwanini ni nadra sana kusikia Mwanamke kajiua kwa ajili ya mapenzi kuliko Mwanaume?

Hahahaha siku ukiniacha , Nitavuta mwengine 100% ..kichwa changu hakijawahi nifikirisha kufanya jambo lakijinga linaloniathiri wakati Nina Faida.
mdogo wangu we hujawaona? Kutwa kututambia hapa kuwa hawababaishwi na mtu toa mbunye weka mbunye...mara ooh men are polygamous in nature, sasa hivi wanasema eti sisi mara zote huwa tunakuwa na plan B, mbona wao huwa wanasema siku zote wanakuwa na plan B, C, D mpaka H sijui huko...mtu akikuacha si unareplace tu cha kuuacha ugali mtamu hivi nini??
Hebu nyie wanaume mliotoka Mars mnakuja kutuletea mambo yenu huku tupisheni kidogo kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kusema ukweli. Huwa nashangaa sana Mwanaume anayejiua au aliyeamua kuyachukia maisha yake sababu tu ametendwa na Mwanamke aliyekua anampenda kwa dhati.

Et MTU anaamua kua chapombe kisa K...anakua mvutaji wa sigara na Dawa za kulevya kisa K hahahaha hahahah .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nakuunga mkono upo sahihi kabisa. Na kwa kuongezea hapo, mwanamke yoyote at any time ana wanaume zaidi ya 10 wanaomsumbua kwenye simu, njiani, ofisini, nk wakimtaka kimapenzi. Kwahiyo wewe ukimuacha sawa anaweza kuumia roho lakini kitendo cha kujua kwamba anazo option nyingine nyingi tu tena za maana kuliko wewe, hua kinafuta kabisa wazo la kujidhuru. (Majibu ya wadada kwenye huu uzi ni uthibitisho)

Sasa shughuli ipo kwa mwenzangu na mie umepambana na kademu kako kamoja tu kama roho, umekafukuzia miaka saba mpaka kamekuja kukukubali kwa kukuonea huruma. Ili kasikuache maana unako hako hako kama roho, inabidi ujitutumue kukagharamia, kukasomesha, kukafungulia biashara na kukafurahisha kwa kila njia. BIG MISTAKE!! Mzee baba kakija kukupiga chini lazima uione dunia chungu na ukimbilie kujitoa uhai.

Ni ngumu sana kwa mwanaume mwenye wanawake kuanzia watatu na kuendelea kujiua eti kisa mmoja wao amemuacha.
Dah mkuu umeongea KWERI tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha siku ukiniacha , Nitavuta mwengine 100% ..kichwa changu hakijawahi nifikirisha kufanya jambo lakijinga linaloniathiri wakati Nina Faida.Mimi kusema ukweli. Huwa nashangaa sana Mwanaume anayejiua au aliyeamua kuyachukia maisha yake sababu tu ametendwa na Mwanamke aliyekua anampenda kwa dhati.

Et MTU anaamua kua chapombe kisa K...anakua mvutaji wa sigara na Dawa za kulevya kisa K hahahaha hahahah .

Sent using Jamii Forums mobile app
daah sema hakyamungu, hata kutishia tu kujiua hutofanya? Vibaya hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au labda Mwenyezi Mungu alivyowaumba Wanawake hakuwawekea ile roho dhaifu ya kutaka Kujitoa Uhai ( Kujiua ) kama ambayo inaonekana kwa Wanaume hiyo Roho si tu kwamba aliiweka bali aliigundisha kabisa na Super Glue kama si Gesi au Shaba ili isitoke milele?

Wanawake wote mliopo hapa JamiiForums ni kwanini na nyie hampendi Kujiua Kimapenzi kama ilivyo Kwetu Sisi Wanaume?
Mwanamke mkiachana huumia zaidi ya mwanaume.. Lakini huwahi kusahau sisi huwa hatuumii sana lakini tunachelewa kusahau hasa kama MTU mlizoeana sana.

Kwa kifupi kinachotesa wanaume ni mazoea, Ndo maana michepuko nu ya muhimu sana wakati mwingine

Mwanaume jitahidi uwe na mchepuko ndo maana wakaumbwa wengi zaidi yetu..

wee saa ngapi Mungu aliumba wanawake wengi? Aliumba Adamu na Hawa hakuna jinsia aliyopunguza wala kuongeza. Kinachowafanya muwe wachache ni kuwa nyie wapuuzi mnakufa sana...na vifo vingine vya kipuuzi tu kama hiki cha kwenye hii mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaahh Lady ,embu fikiria nakupenda sanaa lkn mwisho wake Unifanyie jambo la kuniumiza ? ninani kati yetu anatakiwa kua ktk upande wa Faida ?.

Jambo ambalo naweza kuliruhusu kuumiza na kunisikitisha moyoni na kufanya USO wangu ujawe na majozi ni pale ambapo nitakua CHANZO CHA UKOSAJI .

lkn habari ya mwanamke Ninayempenda awe chanzo cha kufanya maisha yangu yawe ya tabu??? Et nisilale ?? Et nisile?? Et Nijaribu kujidhuri ?? Et nijiue ?? Nijichukie (?? Hahahahahaha , nitakua mwanaume wa mwisho kukubaliana nahuu upuuzi.

Sera ya maisha yangu, inanihitaji kua na moyo wa chuma ambao hauruhusu MTU wa ziada kua chanzo cha kunipa Shida !!.

Nikikukosea, nitaumia sana , nitakuomba msamaha .... Ila kuna watu wakiombwa msamaha hawako tayar kusamehe badala yake huugeuza huo msamaha ili kukuumiza kisa umekosea..... Kwa kuzingatia Uzito wa kosa ,hapa napo Nitaangalia, kama linanihitaji kusubiri Nitasubiri..kama et nikusubiri uku ukiendelea kunionyesha wazi
Na kunikomoa hahahahhaa KWAHERIIIIIIII, UFIKE SALAMAAAAAA KWA BABA NAMAMAAAA KWAHERI MWALIMUUU KWAHERI MWALIMUU HAHAAH TUTAONA ONA KESHOO

wewe akili zako zinakutosha mwenyewe, umeona utuimbie na wimbo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom