Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,432
Hebu tufumbuane akili hapa, kwa nini Mungu alikataza ngono? Ni kitu gani kinaifanya ngono iwe dhambi na kusugua meno, au kumshika mkono jinsia tofauti isiwe dhambi?
Kwa sababu ni dhambi na sio dhambi tu bali inahusisha mwili wako, dhambi nyingine utazifanya out of your body lakini si kwa case ya ngono, kama unavyojua kwa sisi wakristo mwili ni hekalu, unapofanya zinaa unafungua milango mingi sana kiroho bila kujua
Ngono si dhambi, ni tendo takatifu kwa wanandoa. Zinaa na uasherati ndio dhambi na uchafu uliopindukia.
Kwasababu yule unaefanya nae ni mkeo wa ndoa na unahaki yakufanya nae na Mwenyezi Mungu huzidisha baraka na faraja pindi mnapokua wanandoa....kwa nini ukifanya ndani ya ndoa si dhambi?
ngono ni dhambi ila tendo la NDOA siyo dhambi,kwasababu mmeshakuwa mwili mmoja kama sio mwili mmoja ni nje ya utashi na kutotafautiana na wanyama hence kushusha discpline ya mtu katika nature na instinct yake kama mwenye kutambua nini ni nini period
Hebu tufumbuane akili hapa, kwa nini Mungu alikataza ngono? Ni kitu gani kinaifanya ngono iwe dhambi na kusugua meno, au kumshika mkono jinsia tofauti isiwe dhambi?
Je, kwa nini ngono si hatia kwa wanyama lakini ni hatia kwa wanadamu?
Ikapanuliwa tena, "ukimtazama mwanamke/mwanamume kwa kumtamani unazini nae" what is the exact context of it being sin and not other action?
Tujadili kama great thinkers wadau!
kwa nini ukifanya ndani ya ndoa si dhambi?
ngono ni dhambi ila tendo la NDOA siyo dhambi,kwasababu mmeshakuwa mwili mmoja kama sio mwili mmoja ni nje ya utashi na kutotafautiana na wanyama hence kushusha discpline ya mtu katika nature na instinct yake kama mwenye kutambua nini ni nini period
Bujibuji, NGONO ni elimu inayotolewa kwa binti wakati anaenda kuolewa, unyago ni elimu anayopewa binti anapo vunja ungo. dhambi ni UZINZI, pia kuna UASHERATI haya ni machukizo kwa bwana.
bwana yupi? wachina wanamjua bwana huyo?
hebu tufumbuane akili hapa, kwa nini mungu alikataza ngono? Ni kitu gani kinaifanya ngono iwe dhambi na kusugua meno, au kumshika mkono jinsia tofauti isiwe dhambi?