Kupunguza huo usumbufu si wamtengenezee isiyo na kamera??View attachment 3547145
Sticker nyekundu hizo husaida kufunika lens ili isifanikiwe kuchukua picha endapo pale atakapopiga picha kimakosa hasa nakala nyeti na za usiri ukubwa.
Endapo hata simu yake itakapokuwa hacked na mdudu wa kupiga picha bila yeye kutambua itakutana na lens iliofunikwa thus kushindwa kufanikisha.
kah!Kupunguza huo usumbufu si wamtengenezee isiyo na kamera??
Sikuhizi Samsung ina logo ya apple kumbe?Naona anatumia Samsung S23 ultra
swali la kizushi, hivi anatumia simu ya kampuni gani?View attachment 3547145
Sticker nyekundu hizo husaida kufunika lens ili isifanikiwe kuchukua picha endapo pale atakapopiga picha kimakosa hasa nakala nyeti na za usiri ukubwa.
Endapo hata simu yake itakapokuwa hacked na mdudu wa kupiga picha bila yeye kutambua itakutana na lens iliofunikwa thus kushindwa kufanikisha.
Ukifatilia hizo picha utaona ameshika aina mbili tofauti za simu, moja Ina iyo logo ya apple na Ile aliosimama kwenye gari ndio itakua Samsung kama jamaa alivyosemaSikuhizi Samsung ina logo ya apple kumbe?
Ebo! Unataka kusemaje?Binadamu washenzi washenzi huwa wanaogopa sana kifo.
Hata Mohammad alitetemeka kifo kinatishaBinadamu washenzi washenzi huwa wanaogopa sana kifo.