Kwanini NECTA hawana matawi mikoani

Nfumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Posts
610
Reaction score
699
Kwanini baraza la mitihani Tanzania(NECTA) halina matawi katika majiji achilia mbali kuwepo mikoani yani ili nibadilishe cheti changu nahitajika kusafiri mpaka Dar
 
Sasa inamaana gano kuitwa NECTA - Hiyo TA inawawakilisha Tanzania au Dar es salaam ndio Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…