KWANINI NDONDO CUP NI NGUMU?

Wanduta

Senior Member
Mar 28, 2018
123
40
hii imeonekana kuwa mashindano magumu zaidi kuwahi kutokea duniani,na wataalamu Wanasema kwamba ya weza kuwa magumu kushinda ligi kuu hispania,uingeleza,Italia,marekani,uholanzi na ufaransa,je wadau Kuna ukweli wowote KWENYE hili?
 
Mkuu umejishusha sana hadhi yako. Kweli ndondo cup iwe ngumu kuliko EPL au Serie A?
 
hii imeonekana kuwa mashindano magumu zaidi kuwahi kutokea duniani,na wataalamu Wanasema kwamba ya weza kuwa magumu kushinda ligi kuu hispania,uingeleza,Italia,marekani,uholanzi na ufaransa,je wadau Kuna ukweli wowote KWENYE hili?
Nachukulia huu uzi kama utani wa mwandishi
 
Ndondo cup ina ugumu gani? Hii pokezana pokezana ni ishara timu zote ni kiwango duni.
 
Ulaya izidiwe na ndondo? Ligi kuu yenyewe wachezaji hawana maagenti wanajisimamia wenyewe pia wanasaini timu mbili tofauti mkuu waliotoa maoni hayo hawajielewi kabisa.
 
Hahahhaha dah kuna mambo yanachekesha sana eti ndondo cup ni michuano migumu kuliko epl nimejikuta nina cheka tu, dhamira yako ilikua ni nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom