Kwanini Ndoa za Harusi hazidumu?

Ndoa ya kimila ndo nzuri. nilifunga ndoa kimila imedumu natamani kufunga nyingine tena.
 
hakuna chochote hapa,haya ni maneno ya mtaani kwenu,lete tafiti utaeleweka mkuu
 
Nimewahi kuhudhuria ndoa nyingi za harusi lakini cha kushangaza ni kwamba nyingi hazidumu zinawahi kuvunjika. Hivi ni kwa nini?

Ndoa za sikuhizi ni fashion people are getin married ili watu waone tu
 
Wengine ni sifa ya kufanya harusi ili watu waone eti wanaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…