Ni kweli kabisa ndoa zinofanywa kwa harusi kwenye kumbi /mjumbani huwa nyingi hazidumu. Mimi nilifunga ndoa bila harusi na tumeishakaa mda mrefu, mdogo wake mke wangu yeye ndoa yake ni utata mtupu.
Nimewahi kuhudhuria ndoa nyingi za harusi lakini cha kushangaza ni kwamba nyingi hazidumu zinawahi kuvunjika. Hivi ni kwa nini?
Nimewahi kuhudhuria ndoa nyingi za harusi lakini cha kushangaza ni kwamba nyingi hazidumu zinawahi kuvunjika. Hivi ni kwa nini?
...nyingi maanayake nini ? Fanya utafiti leta takwimu usilete shigongoizm jukwaani. Kama observation ndo ya staili hii na mimi nakwambia nyingi nilizoshuhudia na kuhudhuria hakuna hatamoja iliyovunjika,huu ni ukweli wala sitanii ndo maana takwimu za uhakika ni muhimu sana...
^^
Kwa sababu hizi;
1. Wanandoa wa siku hizi hususani miaka ya kuanzia 2000s wanafikiri ukiingia katika ndoa, ndo basi tena kila kitu kimeisha, wanadhani maisha ya ndoa ni rahisi tu
2. Wengi wanadhani wakipata harusi basi wameshinda ndoa. Wanapongezana, wanakula, wanafurahi, majaribu yanapoanza wanatafuta milango ya kutokea
3. Mabinti wengi wanatafuta harusi kupata uhalali, wakidhani ndio usalama. Wakishapata harusi, wakaingia ndani, visa, dharau, kujisikia vinaanza maana cheti cha ndoa kinamlinda wanasahau cheti cha talaka hakipo mbali
4. Harusi nyingi zinaambatana na mengi. Matatizo machache kati yake ni chuki zisizo na maana, kuoneana vijicho, zawadi zenye mapatano ya kishirikina, kutofungwa kwa mawasiliano na X's wa wanandoa wapya!
SI HARUSI ZOTE HULETA MATOKEO YA NDOA ZA AINA HII, NI CHACHE TU ^^
Unataka harusi za ghana?
...kafunge ndoa wewe acha imani potofu...
Hivi Harusi ni nini?
Wataalam wa kiswahili naomba mnisaidie maana hii kauli ya NDOA ZA HARUSI bado sijaielewa vizuri.
vip mkuu za ghana zinakuaje
Majority hawafanyi sherehe, mkitoka kanisani mnapeana soda na maji ndo kwaheri
Ndoa ni pale watu wawili wa jinsia tofauti wanapohalalishwa kiimani au kiserikali kugegedana kwa lengo la kuanzisha familia. Harusi ni sherehe zinazofanyika baada ya ndoa, mnaweza kufunga ndoa bila harusi, yaani mnakwenda Kanisani, Bomani au msikitini, mnafunga ndoa mkiwa na wasimamizi/mashahidi wenu, mkimaliza mnarudi nyumbani kimya-kimya.
very true give me 5!Watu wengi huoana kwa
tamaa zao wenyewe(kwa tamaa ya mali-wanawake au uzuri wa umbo-wanaume)
na kiuhalisia tabia zao mbaya,ndoa haiwezi kudumu.
Kumbe!!!
solution ni kuchukuana kimya kimya tu sogea tukae....
Ni kwa sababu wewe hujafunga na unawatia nuksi waliokwisha funga ndio maana zinavunjika!Nimewahi kuhudhuria ndoa nyingi za harusi lakini cha kushangaza ni kwamba nyingi hazidumu zinawahi kuvunjika. Hivi ni kwa nini?
very true give me 5!