abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,292
Kwasababu ya watu kama Lissu
Lissu amewahi kuongoza serikali ipi akaifukarisha nchi ?!. Waliowapa mabeberu madini yetu kwa mrahaba wa 3% ndiyo wameleta neema ?!. Kushabikia watawala lazima uwe na kipaji cha ujingaWanatumiwa na Mabeberu kuharibu Nchi za kiafrica
Lissu amewahi kuongoza serikali ipi akaifukarisha nchi ?!. Waliowapa mabeberu madini yetu kwa mrahaba wa 3% ndiyo wameleta neema ?!. Kushabikia watawala lazima uwe na kipaji cha ujinga
Hujui unalolisema wewe kaa kimya. Yule mliemhukumu kwa kushiriki hicho mnachokiita "usaliti" kwenye madini . Mbona mmeteua kugombea ubunge na kuna hila apite bila kupingwa ?!Lissu alikuwa analipwa mabilion na Mabeberu kuwatetea bungeni ,wakati Rais Magufuli akitupigania
Lissu alikuwa anakutana na Mabeberu kufanikisha wizi wa kisheria
Dhambi ya usaliti ilionekana wakagombana wao kwa wao
Mfano mwingine ni Zimbabwe baada ya kuondoka watu weupe imerudi kwenye dimbwi la umasikini wakati kipindi cha nyuma ilikua inakimbizana na South AfricaUmenikumbusha DOMINICAN REPUBLIC na HAITI. Nchi ziko kisiwa kimoja lakini maendeleo tofauti. Haiti makini wa kutupwa
Zimbabwe baada ya weupe kuondolewa waliwekewa vikwazo vya maana wakashindwa kuendelea. Afrika huku ni shida sana kuendelea kama tutaendelea kwa maisha haya ya kuviziana na kuharibiana. Yani Afrika ikiweza kufanya biashara kwa kutegemeana wenyewe kwa wenyewe na kufunguliana mipaka bila kuhujumiana na kuingie katika mitego ya weupe mbona tutaweza kutoboa fresh tu.Mfano mwingine ni Zimbabwe baada ya kuondoka watu weupe imerudi kwenye dimbwi la umasikini wakati kipindi cha nyuma ilikua inakimbizana na South Africa
Mengine in kweli waafrica tunahujumiana, mfano mzuli kwenye corona inshu ya kufungiana mipaka, lakini pia tuangalie hawa watu weupe wanashirikiana sana na pia taasisi kubwa za kifedha kama IFM na nyingine zinakua na ubaguzi flani kwa Africa, hutoa vikwazo vingi kwa Africa na muelekeo isiyo akisi maendeleo halisi ya Africa, tofauti na ngozi nyeupe inavyotendewa, lakini lazima tujikubali pamoja na hayo yote Africa imepiga hatua kubwa sana kimaendeleo ukilinganisha umri wake. Tumetoka misituni juzi tu hatuna hata miaka mia lazima tujikubali hatua kubwa imepigwa ya maendeleoZimbabwe baada ya weupe kuondolewa waliwekewa vikwazo vya maana wakashindwa kuendelea. Afrika huku ni shida sana kuendelea kama tutaendelea kwa maisha haya ya kuviziana na kuharibiana. Yani Afrika ikiweza kufanya biashara kwa kutegemeana wenyewe kwa wenyewe na kufunguliana mipaka bila kuhujumiana na kuingie katika mitego ya weupe mbona tutaweza kutoboa fresh tu.
Tatizo tunagawanywa sana, tunagombanishwa na kutengenezewa uadui baina ya mataifa, tunawekewa migogoro ya ajabu ajabu..na pia waafrika tunafika bei mapema hakuna mwenye uchungu na mwenzie..mtu akishakuwa na uhakika wa kuchuma mali hajali kuhusu mwingine na ndio maana weupe wanatutumia kuwaumiza na kuwahujumu weusi wenzetu. Ni upuuzi tu.. bila Afrika kuungana na kuwa kitu kimoja ni ndoto kuyafikia maendeleo...itakuwa ni mwendo wa migogoro tu.
Fikiria hawa ndio wanaochagua hao viongozi !! Unategemea nn??? Mtu wa hovyohovyo huchagua viongozi wa hovyohovyo hovyo tegemea mipango na maendeleo ya hovyohovyo ndio maana unaona ufukara hauishi na hautaishaLissu alikuwa analipwa mabilion na Mabeberu kuwatetea bungeni ,wakati Rais Magufuli akitupigania
Lissu alikuwa anakutana na Mabeberu kufanikisha wizi wa kisheria
Dhambi ya usaliti ilionekana wakagombana wao kwa wao
Unakua na kiongozi sampuli hiyo alafu uwe na maendeleo!? Yan huyo ndo awe mtunga sheria View attachment 1589385
Fikiria hawa ndio wanaochagua hao viongozi !! Unategemea nn??? Mtu wa hovyohovyo huchagua viongozi wa hovyohovyo hovyo tegemea mipango na maendeleo ya hovyohovyo ndio maana unaona ufukara hauishi na hautaisha View attachment 1589389
Fikiria hawa ndio wanaochagua hao viongozi !! Unategemea nn??? Mtu wa hovyohovyo huchagua viongozi wa hovyohovyo hovyo tegemea mipango na maendeleo ya hovyohovyo ndio maana unaona ufukara hauishi na hautaisha View attachment 1589389
Sababu ya kipuuzi,wakati Mkapa anaiba mgodi wa Kiwira,Lisu alikuwepo?wakati majizi ya ccm yanaiba escrow,Richmond,yanatumia tillioni 1.5,bila maelezo,TL alikuwepo,wewe Fikiria Raisi anatoa amri,Mtoto wa dada yake,anaidhinisha fedha,zinapelekwa kwa shemeji wa Raisi,shemeji anapewa Tenda ya kujenga uwanja,bila kufata utaratibu wa Tenda.Wanatumiwa na Mabeberu kuharibu Nchi za kiafrica