Panaless The Great
Member
- Feb 13, 2013
- 46
- 27
Kwanini nchi Kuwait Kama USA wao wanaamika kwamba wanademocria duniani lakini wanavyama viwili tu. Lakini sisi. Nchi za Africa tunavyama Kama 18 hivi kwahio mimi napata wasisi mkubwa sana na democrasia za nchi za Africa,