peterngenzi
Member
- Jun 9, 2016
- 5
- 0
Siku zote huwa natafakari sana kwanini bara letu Afrika, hususani nchi zilizo chini ya mamlaka ya watu weusi ni masikini?
Naomba mchango wenu wanajamvi.
Naomba mchango wenu wanajamvi.