mende 2014
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 763
- 131
Naulizi hivi, kwa nini nchi za Afrika mashariki hazishiriki kombe la dunia?
Naulizi hivi, kwa nini nchi za Afrika mashariki hazishiriki kombe la dunia?
mpaka kushiriki world cup kna hatua lazima upite tatizo nchi za afrika mashariki hatu shindagi kuingia huko tunatolewaga mapema