Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,110
- 5,010
Kama intelijensia ndio hii bas tuna safar ndefu san!! Imagine linakuja tatizo linalohusu uchumi kila kiongoz anakuja na ufafanuzi wake 🤣🤣🤣 kibaya zaid fafanuzi zinakinzana!! Kudos intelijensia ya uchumi ya CCM!!Ipo na inafanya kazi vizuri sana labda tu haifanyi kulingana na ambavyo ungependa wewe.
hiyo idara ipo kila sector, mathalani katika bajeti ya serikali kuu lakini pia hata katika halmashauri intelijensia huashiria watakusanya kiasi gani katika mwaka wa fedha husika.
Lakini pia mfumuko wa bei, Bei ya mafuta, thamani ya sarafu na dola, hali ya hewani, ukiaji wa uchumi, njaa, ukame na hali za maisha ya watu na makazi intelijensia huonyesha ishara ya kukua, kuzorota au kuhatarisha hali za kisekta na hivyo tahadhari ya jumla katika sekta husika hutolewa.
Nchi za Kijamaa na mambo ya uchumi wapi na wapi? Wao wanajali mambo ya Utawala na madaraja.Muundo wa Serikali ulivyo ni wazi hatuna kitengo kinachoratibu na kusimamia intelijensia ya uchumi.
Kama mipango yetu ingeongozwa na intelijensia ya uchumi maana yake sera zetu zingeeleweka hadi ngazi ya mtaa ila kwa sasa hata mawaziri hakuna ajuaye tuna threat na opportunity gani kisekta
Kwanini kitengo hiki kisiundwe ndani ya wizara mpya ya mipango kikichukua majasusi kutoka vyombo vya dola, vyuoni, taasisi binafsi na wizara ya fedha! Kitengo hiki kikiwepo hata mwanasheria mkuu wa serikali hataruhusiwa kwenda kuingia mikataba ya DP world coz watakuwa wanafanya uchambuzi wa kila sekta, kuainisha intervention za kisekta pamoja na kucontrol kiu ya mwanasiasa.
Hiki kitengo ni muhimu sana kwa ulinzi wa uchumi wetu lakini pia kitatusaidia kuwabaini wanaotuhujum na kuwaweka wazi au kuwadhibiti.
Intelijensia ya jinai siyo kipaombele cha Dunia tena; Dunia inalindwa zaidi na economic power. Leo tunapoona kila dili likifeli means hatuna jicho la majasusi wenye business mind.....tuna majasusi wa jinai ambao ni consumers wa public funds kuliko kuimarisha vyanzo vya mkwamuo wa kiuchumi.
Let us invest kwenye ujasusi wa kiuchumi
Chukua 50m alafu kafungue account bank uweke zote ukiondoka bank bila kuwaona hao mabwana nakuongezea 50m nyingineMuundo wa Serikali ulivyo ni wazi hatuna kitengo kinachoratibu na kusimamia intelijensia ya uchumi.
Kama mipango yetu ingeongozwa na intelijensia ya uchumi maana yake sera zetu zingeeleweka hadi ngazi ya mtaa ila kwa sasa hata mawaziri hakuna ajuaye tuna threat na opportunity gani kisekta
Kwanini kitengo hiki kisiundwe ndani ya wizara mpya ya mipango kikichukua majasusi kutoka vyombo vya dola, vyuoni, taasisi binafsi na wizara ya fedha! Kitengo hiki kikiwepo hata mwanasheria mkuu wa serikali hataruhusiwa kwenda kuingia mikataba ya DP world coz watakuwa wanafanya uchambuzi wa kila sekta, kuainisha intervention za kisekta pamoja na kucontrol kiu ya mwanasiasa.
Hiki kitengo ni muhimu sana kwa ulinzi wa uchumi wetu lakini pia kitatusaidia kuwabaini wanaotuhujum na kuwaweka wazi au kuwadhibiti.
Intelijensia ya jinai siyo kipaombele cha Dunia tena; Dunia inalindwa zaidi na economic power. Leo tunapoona kila dili likifeli means hatuna jicho la majasusi wenye business mind.....tuna majasusi wa jinai ambao ni consumers wa public funds kuliko kuimarisha vyanzo vya mkwamuo wa kiuchumi.
Let us invest kwenye ujasusi wa kiuchumi
Uleule ujuaji wa kishamba! Mkishaangalia series za Kimarekani basi mnajiona na nyie ni majasusi! Nenda TISS kawaulize kama kitengo hiki hakipo?Kama mipango yetu ingeongozwa na intelijensia ya uchumi maana yake sera zetu zingeeleweka
utofauti uko upande gani kwa mfano?Kama intelijensia ndio hii bas tuna safar ndefu san!! Imagine linakuja tatizo linalohusu uchumi kila kiongoz anakuja na ufafanuzi wake 🤣🤣🤣 kibaya zaid fafanuzi zinakinzana!! Kudos intelijensia ya uchumi ya CCM!!
Hizo nyingi sana, mwambie apokee milioni kumi (10m) na chanzo chake hakieleweki halafu aone kama jamaa wapo au hawapo!Chukua 50m alafu kafungue account bank uweke zote ukiondoka bank bila kuwaona hao mabwana nakuongezea 50m nyingine
intelijensia huonyesha ishara kamili kwamba haiwezekani kuongeza mishahara na ndio maana haiongezeki mara kwa mara.Tena ilitakiwa kuwa active kama ile ya police kwenye kunusa njama za kigaidi kwenye maeneo ambayo wapinzani wanakusudia kufanya mikutano. Hapa tungekuwa tunanusa hadi upungufu wa dola miaka hata sitini mbele na kujiwekea akiba. Bei ya mafuta na tozo zisizojulikana mwelekeo wake zisingekuwa za kushtukiza kama ilivyo sasa. Wategemea nyongeza ya mishahara pia tungekuwa tunapewa hali ya miaka hata 20 huko mbele kama ipo au la
Wapo hawasikilizwiMuundo wa Serikali ulivyo ni wazi hatuna kitengo kinachoratibu na kusimamia intelijensia ya uchumi.
Kama mipango yetu ingeongozwa na intelijensia ya uchumi maana yake sera zetu zingeeleweka hadi ngazi ya mtaa ila kwa sasa hata mawaziri hakuna ajuaye tuna threat na opportunity gani kisekta
Kwanini kitengo hiki kisiundwe ndani ya wizara mpya ya mipango kikichukua majasusi kutoka vyombo vya dola, vyuoni, taasisi binafsi na wizara ya fedha! Kitengo hiki kikiwepo hata mwanasheria mkuu wa serikali hataruhusiwa kwenda kuingia mikataba ya DP world coz watakuwa wanafanya uchambuzi wa kila sekta, kuainisha intervention za kisekta pamoja na kucontrol kiu ya mwanasiasa.
Hiki kitengo ni muhimu sana kwa ulinzi wa uchumi wetu lakini pia kitatusaidia kuwabaini wanaotuhujum na kuwaweka wazi au kuwadhibiti.
Intelijensia ya jinai siyo kipaombele cha Dunia tena; Dunia inalindwa zaidi na economic power. Leo tunapoona kila dili likifeli means hatuna jicho la majasusi wenye business mind.....tuna majasusi wa jinai ambao ni consumers wa public funds kuliko kuimarisha vyanzo vya mkwamuo wa kiuchumi.
Let us invest kwenye ujasusi wa kiuchumi
Sidhani kama hicho kitengo hakipo. Labda tuseme akina ufanisi au matokeo chanya. Baada ya Nyerere kunusurika kupinduliwa kwa mara pili aliingiza makada wengi sana TISS ili kujiweka salama. Hii ilichangia kuifungamanisha TISS na siasa ndio maana unaona hawa TISS ni kama wapo siriaz zaidi na kulinda madaraka ya watawala kuliko masuala yanayoigusa nchi kiuchumi na kijamii.Muundo wa Serikali ulivyo ni wazi hatuna kitengo kinachoratibu na kusimamia intelijensia ya uchumi.