Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,720
Mimi kura yangu ukawa. Hivi nyie mliopigwa upofu. Ni mwaka jana tu serikali ilichakachua katiba pamoja na kugharamia mabilioni yote hayo.
Kimsingi kabisa sio kwamba naipinga kwamba haijafanya chochote CCM.
Ila Kuna mambo ya hovyo na ya hasara yanafanyika kila mwaka kwenye taifa Hili sababu ya hawa watu kulewa madaraka.
Kama kweli tuna dhamira ya utanzania na kujali maslahi ya kizazi kijacho, ni bora watanzania tuungane tufanye sub dakika hii ya themanini CCM apumzike kidogo.
Ama hakika tusipoamua sasa na kupata watu wa kuotesha misingi imara juu ya maslahi yetu ya kitaifa kama utajiri wa asili tulionao.
Hakika huko tunapoenda faida zitazidi kuwa ndogo kuliko madhara.
Ukiangalia mambo yanayotokea duniani kwa sasa ni dhahir kama taifa halitajipanga kwa miaka kumi ijayo hakika wengi watasaga meno.
Tufanye maamuzi sahihi, miaka hamsini hawa watu wametutawala lakini cost zimekuwa kubwa kuliko benefits. Hivi vilio vya kila siku sio bahati mbaya uongozi wa taifa hili haukuwahi kuwa na manufaa yoyote kwa wananchi wa kawaida.
Hata nimefanya simple research ya uchumi wetu tangu enzi za mwalimu hakika hakuna kitu.
Kuna watu wamepigwa upofu lakini watambue pale madhara yanapotokea ni wote tunahathirika.
Hakika hii chance tukipoteza hawa hawa viongozi watu ipo watatuambia si ni wasengerema
Sio kwamba hatutaki mabadiliko Tunayataka Sana lakini waliopo Nyuma ya Haya mabadiliko hawapo na nia thabiti Na Tanzania Yetu Wameanza kusema watavunja Muungano kabla hawajaingia madarakani mara watamuachia Babu seya .Sasa imani tutaweka kwa CCM hatuna njia Nyingine
Sasa mkuu unajua Kuna vitu vingine havina msingi wowote Bali ni formalities tu. Huo muungano unaoulilia ki uhalisia umeshakufa na haupo.
Kama unataka kubaki na CCM unatakiwa utoe hoja zenye mashiko na ujaribu kufikiria kama Kuna kitu kimefanyika na ukanufaika nacho kwa miaka 50 uliyokuwa na CCM.
Jaribu kufikiria na mambo yanayotokea sahiv all kinds of ufisadi na uangalie prospect ya mjukuu wako miaka 50 ijayo. Kama hali ya maisha ya sasa imekuridhisha chaguo lako ni sahihi.
La hujaridhika fikiri mara mbili juu ya kubadilika
sijakuelewa kuhusu visasi. Mi sikuwahi mshabiki wa lowasa wala siasa. Ila ambacho nakiona kina thamani kwa sasa ni sisi nchi kama nchi na sisi raia ambao ni wengi kutathmini haswa tunataka nchi ya namna gani miaka kumi ijayo.Mkuu inaniwia vigumu sana ninapo ona Viongozi wanataka Mabadiliko ili kulipa visasi Sijui kama utakubaliana na Mimi Kwamba pamoja na sababu hizo hapo juu najua Visasi ndio vinataka kuleta mabadiliko hapana hilo Mimi binafsi pamoja na wana ukoo wetu tumelikataa Nadhani kunavijana wapo kwaajili ya mabadiliko bila visasi.Mungu I baridi Tanzania
sijakuelewa kuhusu visasi. Mi sikuwahi mshabiki wa lowasa wala siasa. Ila ambacho nakiona kina thamani kwa sasa ni sisi nchi kama nchi na sisi raia ambao ni wengi kutathmini haswa tunataka nchi ya namna gani miaka kumi ijayo.
Mpaka sasa sijaona kwanini niipigie kura ukawa??
Ukawa sera yenu ni nini?? Utaambiwa mabaya ya CCM tuuu!!!
Nataka kusikia ukawa mtafanya nini??
Mpaka sasa sijaona kwanini niipigie kura ukawa??
Ukawa sera yenu ni nini?? Utaambiwa mabaya ya CCM tuuu!!!
Nataka kusikia ukawa mtafanya nini??
Mimi kura yangu ukawa. Hivi nyie mliopigwa upofu. Ni mwaka jana tu serikali ilichakachua katiba pamoja na kugharamia mabilioni yote hayo.
Kimsingi kabisa sio kwamba naipinga kwamba haijafanya chochote CCM.
Ila Kuna mambo ya hovyo na ya hasara yanafanyika kila mwaka kwenye taifa Hili sababu ya hawa watu kulewa madaraka.
Kama kweli tuna dhamira ya utanzania na kujali maslahi ya kizazi kijacho, ni bora watanzania tuungane tufanye sub dakika hii ya themanini CCM apumzike kidogo.
Ama hakika tusipoamua sasa na kupata watu wa kuotesha misingi imara juu ya maslahi yetu ya kitaifa kama utajiri wa asili tulionao.
Hakika huko tunapoenda faida zitazidi kuwa ndogo kuliko madhara.
Ukiangalia mambo yanayotokea duniani kwa sasa ni dhahir kama taifa halitajipanga kwa miaka kumi ijayo hakika wengi watasaga meno.
Tufanye maamuzi sahihi, miaka hamsini hawa watu wametutawala lakini cost zimekuwa kubwa kuliko benefits. Hivi vilio vya kila siku sio bahati mbaya uongozi wa taifa hili haukuwahi kuwa na manufaa yoyote kwa wananchi wa kawaida.
Hata nimefanya simple research ya uchumi wetu tangu enzi za mwalimu hakika hakuna kitu.
Kuna watu wamepigwa upofu lakini watambue pale madhara yanapotokea ni wote tunahathirika.
Hakika hii chance tukipoteza hawa hawa viongozi watu ipo watatuambia si ni wasengerema
Mambo mengine ya visasi hizo ni hoja mufilisi za hawa viongozi wetu kutafuta huruma ya wananchi akati Kuna mambo ya hovyo hovyo wamefanya.
Mimi sio mshawishi mkuu kama wewe upo CCM ni sawa we baki huko.Kweli nimekusoma na nimeamini wewe ni mshabiki.
Umeandika kishabiki.
Hebu rudia hilo andiko lako uone kama linaweza kumshawishi mwana ccm ahame kambi na kupigia unaposhabikia.
Uchaguzi wa mwaka huu ni wa muhimu na kampeni zake si lelemama au za ushabiki.
Kura zisipotosha usimlaumu mtu.