KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 4,131
- 5,107
Ss unahoji mtu kushinda tenda kwani hilo ni kosa?
labda kama kuna ukiukwaji wa taratibu ama masharti/deliverable za mkataba
vinginevyo hamna mantiki
na una uhakika gani kuwa 'vyombo' havijahoji?serikali ina mkono mrefu huwezi jua