Kwanini namchagua Lowassa

Kwanini namchagua Lowassa

BORALIENDE

Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
24
Reaction score
10
Lowassa peke yake ndo ana kashfa kwny timu ya UKAWA, na kashfa zake CCM wameshindwa kututhibitishia kwa kumuwajibisha,wengine wote kuanzia babu Duni na wengine hawana mawaa na siku zote wamekuwa wakihubiri haki na kutaka katiba bora inayosimamia misingi ya utawala bora.

Itakuwa ngumu sana kwa Lowassa kuwa against hawa wenzie wote ambao wamekuwa wakipigania haki za wananchi kwa kipindi kirefu, kwa kifupi Lowassa amekuja kwny kundi la watu wenye mtizamo chanya.

Kwa upande mwingine CCM imekataa kupitisha katiba pendekezi ambayo ingekuwa ni muhimu sana kwa mustakabali wa taifa, katiba yenye uwezo wa kumfanya kiongozi yeyote atakayechukua madaraka alazimike kuwa muadilifu, CCM imechangua kuendelea na katiba dhaifu ambayo inalinda maslahi binafsi ya viongozi wa juu, hilo tu linatuthibitishia hawa jamaa wamekaa kimaslahi binafsi zaidi.

Pili chama chao kimejisahau sana, yaani CCM imekuwa kama ndo serikali, hii inawapa kujiamini kupita kiasi kiasi kwamba haiwapi presha ya kutekeleza majukumu yao kwa wananchi kwa sababu wanajua hata wakiihujumu nchi bado watapewa dhamana ya kuendelea, tukiwapiga chini watajipanga next tym watakuwa makini kama chama chao kitakuwa bado hakijafa.

Tatu tunaamini CCM akipigwa chini atakuwa kama watchman au muangalizi kwa CHADEMA akitamani CHADEMA wakosee hili wao warudi madarakani, hii itaifanya Chadema kuwa makini sana katika kuendesha serikali yao, katika hili wananchi watafaidika.

Binafsi namkubali sana Magufuli, ila nahisi yupo upande usio sahihi, Magufuli na CCM ni sawa na umchukue Lionel Messi uje umlete kwny timu ya Tukuyu stars, haiwezi kufanya vizuri.

Lowassa na chadema ni sawa na umchukue Ngassa aende akachezee Barcelona, Ngassa lazima ataimprove sana.
 
kitendo cha maamuzi ya kubadili gia angani kimetustua sana. hawa chadema na ukawa wakiwa wao ndio wenye madaraka watafanya maamuzi ya hovyohovyo wamedhihirisha wao bado sana. wanastahili kupewa muda wajipange na kukomaa zaidi.
 
Mungu ndo mwenye mamlaka ya mwisho, hatutaki kutawaliwa na nguvu za Giza tena tumechokaaaaa
Mungu anaangalia moyo sisi tunaangalia nje. Get prepared for surprise
 
lowassa peke yake ndo ana kashfa kwny timu ya ukawa, na kashfa zake ccm wameshindwa kututhibitishia kwa kumuwajibisha,wengine wote kuanzia babu duni na wengine hawana mawaa na siku zote wamekuwa wakihubiri haki na kutaka katiba bora inayosimamia misingi ya utawala bora.

Itakuwa ngumu sana kwa lowassa kuwa against hawa wenzie wote ambao wamekuwa wakipigania haki za wananchi kwa kipindi kirefu, kwa kifupi lowassa amekuja kwny kundi la watu wenye mtizamo chanya.

Kwa upande mwingine ccm imekataa kupitisha katiba pendekezi ambayo ingekuwa ni muhimu sana kwa mustakabali wa taifa, katiba yenye uwezo wa kumfanya kiongozi yeyote atakayechukua madaraka alazimike kuwa muadilifu, ccm imechangua kuendelea na katiba dhaifu ambayo inalinda maslahi binafsi ya viongozi wa juu, hilo tu linatuthibitishia hawa jamaa wamekaa kimaslahi binafsi zaidi.

Pili chama chao kimejisahau sana, yaani ccm imekuwa kama ndo serikali, hii inawapa kujiamini kupita kiasi kiasi kwamba haiwapi presha ya kutekeleza majukumu yao kwa wananchi kwa sababu wanajua hata wakiihujumu nchi bado watapewa dhamana ya kuendelea, tukiwapiga chini watajipanga next tym watakuwa makini kama chama chao kitakuwa bado hakijafa.

Tatu tunaamini ccm akipigwa chini atakuwa kama watchman au muangalizi kwa chadema akitamani chadema wakosee hili wao warudi madarakani, hii itaifanya chadema kuwa makini sana katika kuendesha serikali yao, katika hili wananchi watafaidika.

Binafsi namkubali sana magufuli, ila nahisi yupo upande usio sahihi, magufuli na ccm ni sawa na umchukue lionel messi uje umlete kwny timu ya tukuyu stars, haiwezi kufanya vizuri.

Lowassa na chadema ni sawa na umchukue ngassa aende akachezee barcelona, ngassa lazima ataimprove sana.

Magufuli ni kama dereva wa gari la right hand (keep right) ktk barabara ya left hand(keep left). In that case he will have to do things right instead of doing the right things, this will bring alot of confusions for tn years he is going to lead. And this is because, the nature of henchmen surrounding him in hundreds and who are very strong will circumvent HIM from carrying out cardinal changes aiming at bringing radical DEVELOPMENTAL changes that people anticipate from him. And that will be the end of his era then tanzanians will be much poorer that they are now.
 
Lowassa peke yake ndo ana kashfa kwny timu ya UKAWA, na kashfa zake CCM wameshindwa kututhibitishia kwa kumuwajibisha,wengine wote kuanzia babu Duni na wengine hawana mawaa na siku zote wamekuwa wakihubiri haki na kutaka katiba bora inayosimamia misingi ya utawala bora.

Itakuwa ngumu sana kwa Lowassa kuwa against hawa wenzie wote ambao wamekuwa wakipigania haki za wananchi kwa kipindi kirefu, kwa kifupi Lowassa amekuja kwny kundi la watu wenye mtizamo chanya.

Kwa upande mwingine CCM imekataa kupitisha katiba pendekezi ambayo ingekuwa ni muhimu sana kwa mustakabali wa taifa, katiba yenye uwezo wa kumfanya kiongozi yeyote atakayechukua madaraka alazimike kuwa muadilifu, CCM imechangua kuendelea na katiba dhaifu ambayo inalinda maslahi binafsi ya viongozi wa juu, hilo tu linatuthibitishia hawa jamaa wamekaa kimaslahi binafsi zaidi.

Pili chama chao kimejisahau sana, yaani CCM imekuwa kama ndo serikali, hii inawapa kujiamini kupita kiasi kiasi kwamba haiwapi presha ya kutekeleza majukumu yao kwa wananchi kwa sababu wanajua hata wakiihujumu nchi bado watapewa dhamana ya kuendelea, tukiwapiga chini watajipanga next tym watakuwa makini kama chama chao kitakuwa bado hakijafa.

Tatu tunaamini CCM akipigwa chini atakuwa kama watchman au muangalizi kwa CHADEMA akitamani CHADEMA wakosee hili wao warudi madarakani, hii itaifanya Chadema kuwa makini sana katika kuendesha serikali yao, katika hili wananchi watafaidika.

Binafsi namkubali sana Magufuli, ila nahisi yupo upande usio sahihi, Magufuli na CCM ni sawa na umchukue Lionel Messi uje umlete kwny timu ya Tukuyu stars, haiwezi kufanya vizuri.

Lowassa na chadema ni sawa na umchukue Ngassa aende akachezee Barcelona, Ngassa lazima ataimprove sana.

NI KWELI tupu
 
Nitamchagua lowasa kwa sababu wote wanaomtuhumu wameshindwa kumshitaki na kumfilisi....je kama sirikali inamuogopa na kumuheshimu ivi mm ni nani mpaka nisimheshimu ? Nitalazimika kumpogia kura uyu anayeogopwa na kila MTU"
 
kitendo cha maamuzi ya kubadili gia angani kimetustua sana. hawa chadema na ukawa wakiwa wao ndio wenye madaraka watafanya maamuzi ya hovyohovyo wamedhihirisha wao bado sana. wanastahili kupewa muda wajipange na kukomaa zaidi.

Ni kichaa pekee anayeweza kutumia gia moja mlimani bondeni , tambarare msituni kwenye tope na mchangani....ni kichaa pekee!
 
Poa mkuu tuna kila sababu ya kuikataa CCM na kumchagua LOWASA nyingine ni mahaba tu.
 
Lowasa magufuli tz iko mikononi mwenu si muunde tu serikali ya mseto
 
Sasa kama unaamua kumchagua yeye sisi inatuhusu vipi? kwasababu kura ya mtu ni siri ila wewe umeamua kutoka kivingine sasa
 
Back
Top Bottom