Kwanini naenjoy sana kutongoza wanawake?

Kwanini naenjoy sana kutongoza wanawake?

Wakuu,mnachopaswa kukielewa ni kuwa;
Kuna binadamu kutongoza kwao huwa ni starehe japo mtongozwaji akikubali anaweza kuliwa na htaji kubwa la watu hawa ni kutongoza kukataa au kukubali kwa mwanamke/wanawake huwa wao wanachukulia kama ni matokeo tu!
Well said mkuu
 
Keep on.The world needs people like you too.
Kuna mdada alikuwa depressed kwakutokutongozwa for almost a year.So endelea tu.Kati ya unaowatongoza kuna unaowapa furaha na confidence.
On the other side of the coin,Imagine mwanamke anayejipendekeza na kuomba namba za wanaume.Lazima atakuwa portrayed Kama Malaya.
So na wewe too much of what you are doing ni umalaya tu.Haujali reputation yako at all.
So,tongoza wanawake ndio.Ila acha sifa za kitoto.Be smart.Wanaume unaowahadithia upuuzi wako,ndio haohao utakuja kuwatambulisha your future wife to.They can use what they know about you against you anytime they want.Be a smart man
.

Ujue ulianza vizuri hadi ukanivutia kuja inbobo umeharibu kuanzia hapo umenikata maini.

.
 
Huyo uliyekutana nae Tigo Shop, ulimtongoza kwa kujifanya msajili line au?


Cc: mahondaw
 
Ngoja nawe wako ukute ANAGEGEDWA barabara ndio utajua
 
Nakudedicate wimbo wa Christopher Martin- Magic, usikilize na angalia video yake.

Napenda mstari mmoja anasema,
".....feel so good to be wrong....." lol.
 
Ujue ulianza vizuri hadi ukanivutia kuja inbobo umeharibu kuanzia hapo umenikata maini.

.

Ila ndo hivyo Hamna kitu hapa duniani kizuri 100%.Kila tufanyalo kina consequence nzuri na mbaya.
Inapendeza zaidi kuangalia both sides of the coin katika vitu tufanyavyo.
 
Ni wajibu wa mwanaume kutongoza.Tekeleza wajibu huu kwa uaminifu.....
 
Kila kitu na wakati wake, inategemea una umri gani, kama ni chini ya miaka 24 we endelea kutongoza tu, ila kama una miaka 25 au zaidi, basi unachofanya proves immaturity ya kiwango cha lami.
 

Ila ndo hivyo Hamna kitu hapa duniani kizuri 100%.Kila tufanyalo kina consequence nzuri na mbaya.
Inapendeza zaidi kuangalia both sides of the coin katika vitu tufanyavyo.

Hata wewe??
 
Una umri gani, natumai utaacha tu mkuu, itafika hatua we mwenuewe utakuwa unajionea kero tu..

Mie nimepitia huko mkuu, nilikiwa kama wewe, kitendo cha kumtongoza mwali na kukubalili ilikiwa najiskia raha sijui kuna hali gani, basi pale ye anapoweka maswali yake magumu mie ndio najiskia faraja kweli.. tofauti yetu labda mie 98% niliowatongoza nilikula bila..
Ila sasa mwenyewe nimetulia miezi kadhaa iliyopita nimesafiri na demu kwenye treni siti moja, halaf mbaya zaidi mwali mwenyewe ni kitoko hatar ni zike taip yangu, sura nzuri na rangi yake nyeupe ila aah! Wapi mwisho wa picha tunashuka ni yeye ndio aliomba na namba kabisa..
 
kuna jamaa kaomba kufundishwa kutongoza....mtafute umsaidie......kutongoza ni zaidi ya usaniiii........ila kutongoza ina raha yake...akubali au akatae........ushatongoza.....
 
Back
Top Bottom