Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
Kwani ukawa ni chama cha siasa?
Kwani wewe unaonaje?
Chama cha siasa kinasajiliwa then wanampitisha mgombea wao kumbuka huu wote ni mchakato that's what I mean
Nakuunga mkono mkuu Yericko Nyerere
Baada ya mbinu zote kufeli sasa hivi wanamtumia Kibaraka wao Francis Mutungi ambaye ni Jaji Feki ili aitumie ofisi ya Msajili kuivuruga Chadema na Ukawa.
Nakuunga mkono mkuu Yericko Nyerere
Baada ya mbinu zote kufeli sasa hivi wanamtumia Kibaraka wao Francis Mutungi ambaye ni Jaji Feki ili aitumie ofisi ya Msajili kuivuruga Chadema na Ukawa.
Hata weza mkuu, wasajili waliopita walishindwa, yeye ni mchanga wa hila za kisiasa,
Mbona huishi kujikomba kwa vigogo wa CCM?
mambo yote hapa duniani yapo kwa kusudi la MUNGU,hakuna utawala wowote ambao umejisimamisha wenyewe,na mwanadamu maisha yake yote yanaratibiwa na MUNGU. kwanini tusimuachie yeye yote? hao wanahitajika kutoka madarakini na wakati huo wengine wanataka kuingia madarakani,kwa nini wasisubirie wakati wao.kila jambo linawakati wake chini ya jua.wacha wakati ufike ingawa tunapitia magumu chini ya ccm lakin tumuachie MUNGU alie muamuzi wa yote.tufanye uwepo wa ccm ni kama wakati wa kulima, na wakati wa mavuno ukifikaa basi tutafuraia. tumtafute MUNGU ndugu nae MUNGU atatuonekania na kisha atatupa utawala bora. tusiutafute ubora wakati sisi sio bora.
Usijipe moyo kabisa ni vyema kuangalia kwa undani suala hili , ccm wana njama za aina tofauti kinyume na unavyowaza ni vyema ukaangalia historia ya ccm kwa upande wa Zanzibar ikitokea ishara ya kushindwa kwa aina yo yote ile kuna njama za kila aina ili wakae kwa nguvu madarakani , nahisi kuna hitajika nguvu za ziada na sio kama unavyowaza
kule Lbya GADFI ALIONDOLEWA NA CHAMA CHA SIASA?Kwani ukawa ni chama cha siasa?
Mkuu record za Yerico Nyerere zinafahamika hapa jf labda kama hupo huru kutoa maoni yako!Mbona huishi kujikomba kwa vigogo wa CCM?