The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,404
- 9,233
Post deleted by Author!
Chna wanamkumbuka mao hata wasiomuona.kumuona sio hoja legacy aliyoiacha sio yenye kufanya kukumbukwa sana. Atakumbukwa kwa kiasi chake kwa mazuri aliyoyafanyaVijana wa singeli ndio wamemsahau but sisi wazalendo tunamkumbuka haswa wakati huu ambao hakuna hata kiongozi anayeweza anayeweza kufikia robo ya Nyerere
Cc Mwinyi, Warioba,
Hapa pana Ukweli zaidi, mengi tuyaonayo ni matokeo ya baadhi ya Sera zake za Ujima.Hakuacha misingi thabiti ya kukumbukwa ametuachia katiba mbovu na mfumo mbovu wa kiuongozi ambao kila kiongozi anajiona yeye ndio mwenye haki ya kuamua kila kitu na hatakiwi kukosolewa .
Kila jambo na wakati wake mkuu.
Vijana wa singeli ndio wamemsahau but sisi wazalendo tunamkumbuka haswa wakati huu ambao hakuna hata kiongozi anayeweza anayeweza kufikia robo ya Nyerere
Cc Mwinyi, Warioba,
iliamuliwa isahaulike purposely kwa kuchanganya namambo ya kuxima mwenge. mbio a mwenge xifutwe. tuendelee muenxi baba yetu wa taifaWakuu Habari,
Ikiwa leo ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha mmoja wa waasisi wa Taifa hili Mwl J.K Nyerere, Nimejiuliza kwanini kadri siku ziendavyo ndivyo anavyozidi kusahaulika kwani sioni kama akizungumzwa sana kama miaka ya nyuma siku kama ya leo kunakuwa na mijadala Mbalimbali kuanzia mtaani mpaka kwenye mitandao na kwenye vyombo vya habari.
Je tumempuuza? na kuifanya siku hii kuwa ya Kuzima mwenge?
Je tumeona urithi wake aliotuachia hauna tena mashiko kwa kizazi hiki?
View attachment 417699
Hapa pana Ukweli zaidi, mengi tuyaonayo ni matokeo ya baadhi ya Sera zake za Ujima.
Wakuu Habari,
Ikiwa leo ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha mmoja wa waasisi wa Taifa hili Mwl J.K Nyerere, Nimejiuliza kwanini kadri siku ziendavyo ndivyo anavyozidi kusahaulika kwani sioni kama akizungumzwa sana kama miaka ya nyuma siku kama ya leo kunakuwa na mijadala Mbalimbali kuanzia mtaani mpaka kwenye mitandao na kwenye vyombo vya habari.
Je tumempuuza? na kuifanya siku hii kuwa ya Kuzima mwenge?
Je tumeona urithi wake aliotuachia hauna tena mashiko kwa kizazi hiki?
View attachment 417699
mi sikusoma bure lakini namkumbukaMnamkumbuka kwasababu aliwasomesha bure kuanzia Chekechea mpaka chuo kikuu.
Lakini kwa kizazi hiki si rahisi na wengi hawaijui hata Historia yake achilia mbali kushughulika naye.