Williamson diamond mine (Mwadui) | |
---|---|
| |
Location | |
Williamson diamond mine Location in Tanzania Click the blue globe to open an interactive map. 03°31′S 033°36′E / 3.51667°S 33.6°E / -3.51667; 33.6 | |
Country | Tanzania |
Owner | |
Company | Petra Diamonds (75%) Government of Tanzania (25%) |
Production | |
Products | Diamonds (300,000 carats per annum) |
History | |
Opened | 1940 |
Wanabodi.
Kulikuwa na umuhimu gani Mwl Julius Nyerere, Rais wa kwanza wa Tanzania kuwauzia Waingereza Mgodi wetu wa Almasi kule Mwadui Shinyanga. Inasemakekana kwa sasa hivi serikali ya Tanzania hawapati chochote kwenye huo mgodi wa Almasi Mwadui Shinyanga.
Kumbe hii tabia ya kuuza mali za Watanzania zimeanza miaka mingi sana. cha kusikitisha wabunge wetu na wanaharakati wetu ili suala wamelikalia kimya wameshindwa hata kuhoji.
Mkuu labda nikuulize wewe nani mmiliki wa Mgodi wa Almasi kule Mwadui Shinyanga?
Mkuu labda nikuulize wewe nani mmiliki wa Mgodi wa Almasi kule Mwadui Shinyanga?
kampuni ya Petra
Jiuulize baada ya uhuru vitu vingi Nyerere alitaafisha kwa nini aliwaachia wazungu huu mgodi?
Ni dr slaa na MboweMkuu labda nikuulize wewe nani mmiliki wa Mgodi wa Almasi kule Mwadui Shinyanga?
Wewe ni mpuuzi na huna hoja inayoeleweka unatangatanga na hoja, mara ooh kwanini Nyerere aliuza mgodi wa mwadui lakini kuna jamaa akakuumbua kuwa mgodi ulianzishwa 1940, tena wakati huo Nyerere akiwa na miaka 18 na Tanganyika haijapata uhuru so it's irrelevant kabisa! sasa umeamua kugeukia kwenye hoja ya kwanini alipoingia madarakani hakutaifisha! tukuelewe hoja yako ni ipi kati ya kwanini aliuza(which is nonsense) au kwanini hakutaifisha? kwa suala la kutotaifisha sijui jibu utalipataje kutoka kwa marehemu ila nakushauri usiumize sana kichwa chako kujua maamuzi ya marehemu bali jaribu kuwauliza mwinyi na mkapa ambao wako hai ni kwanini nao hawakutaifisha au vizuri zaidi kumuuliza kikwete ambaye ndio rais wa sasa kwanini naye mpaka leo hajataifisha!? au hutoridhika mpaka marehemu afufuke akujibu!
Ritz, aligundua angeuacha mngekuja kujigawia kama mali zenu binafsi. Afadhali Nyerere aliyeuza kuliko watu nyie mnaojitwalia mchana kweupeee