Penguinelli Cactussini
Member
- May 23, 2022
- 92
- 339
Ikiwa serikali inaamini kuwa kanisa la askofu Gwajima walikuwa na kosa why walifungulie kanisa hilo?
Hili sio suala la “favor” isipokuwa ni kukandamizwa kwa uhuru wa kuabudu kulikofanywa na waliozuia huduma za kanisa hilo kuendelea wakati ule.
Ukandamizaji ulifanywa na sasa wanarudishiwa pawa kama favor ilhali ni haki waumini wale kuabudu na ni UKANDAMIZAJI ulifanyika kuzuia wasiabudu.