impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,846
- 7,907
Sawa hili jibu litafungua akili ya wengi kufanya maamuzi nadhani lingekuwa publicNi kweli hawalipwi mshahara serikalini, ila kuna baadhi yao wanalipwa kulingana na mapato ya kijiji husika,gawio la kijiji la mapato linalorudi kutoka Halmashauri/serikalini...lkn hawalipwi kutokana na vijiji vyao kutokuwa na mapato yoyote...