Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,088
- 13,515
Mpe pesa tu, maneno baki nayo mwenyewe..... pesa ni ukweli, na ukweli ni pesa, mengine ni mbwe mbwe...
Hivi unajua kuwa wanaoongoza kutoa pesa ndio hukataliwa.
Uchawi wa mapenzi ni mdomo. Pesa bila mdomo italiwa tuu.
Make my word. Angalia mtaani kwenu wanaongoza kwa kupiga mademu kama wanapesa zaidi ya ujanja wa mdomoni.
Mjini ukijifanya unajua kutoa pesa utaishia kuitwa Lofa na huna utakachopata bothside iwe papuchi au kujijenga kiuchumi.
Ha ha ha hakumbuka ata uyo mdada unaemtongoza nae kakuongopea vile vile kwa nywere bandia na make up nawe uka data nae
Wakumwambia ukweli ni yule tu unae muandaa kuoana, ukizidi vujisha siri za maisha yako kwakila mtu unajitengenezea tatizo ambalo hutaweza litatua
Watoto wazuri, wale clasic kama hutoi hela utaishia kuwatamani tu,.. mwanamke lazima umuhudumie, na utamuhudumia kutokana na kiwango au level zake.. wanawake wanapo kataa mtu si kwamba hawawapendi, hapa ila akikucheki huna uwezo wa kumuhudmia, badala ya kuw baraka kwake unakuwa mzigo na matokea yake unamchosha
Watoto Classic ni wapi hao Mkuu.
Au unazungumzia hawa Masikini wanaojifanya maslay queen kwa kuvaa viguo vya kisasa ilhali wanaishi maisha ya dhiki.
Kama unataka ufanikiwe kwenye maisha never date poor woman. Hao ndio hujifanya Classic wakati hamna kitu.
Hata humu ndani wapo kibao lakini maisha yao ni yakuunga unga. Kama unajua kuongea vizuri hata usipotumia hela unapiga watoto wakali tena wanaojielewa sio hao Njaa kali. Wakuja Mjini wanaotetea kombe wasiondoke mjini.
Kuwa mjanja Mkuu. Ukiona unatumia pesa nyingi kuliko maneno ujue kuna sehemu unafeli na hutakuwa na maendeleo yoyote zaidi ya kuishi kwenye kigeto chenye Home thietre na visofa na kitanda.
Mkuu upo sahihi na mimi nipo sahihi, hatuelewani sehemu ndogo tu.. unachosema nakielewa ila ambacho mie nakisema hujakielewa... ila upo sahihi na mimi nipo sahihi.. watoto classic na maanisha ( mwanamke ambae ni mzuri nje na ndani na hana hila wala uongo kinywani mwake )...
Huyo mwanamke unayemzungumzia hahitaji pesa.
Ngoja nikupe siri. Mwanamke anachohitaji kwenye maisha ni Uhakika na Usalama wake. Mwanamke anahitaji mwanaume anayejielewa kuliko mwenye pesa. Kwani pesa unaweza hata ukaiba au ukadhulumu lakini mwanaume akijielewa atakuwa mchapakazi na kutekeleza majukumu yake ikiwa ni pamoja na kumhudumia mwanamke.
Mtu anaweza akawa na pesa na bado asimpe mwanamke. Na chakushangaza ni kuwa wanaume masikini na wa tabaka la kati ndio wanahonga zaidi ya wenye pesa.