mahalipema
Senior Member
- Mar 12, 2012
- 194
- 120
Mimi namuona ex boyfriend kama ng'ombe pori[emoji23]. Yani yani huwa najiuliza ilikuwaje kuwaje ndio nikawa nimefall hapo. Yani najiulizaga sipati majibu. Na siwezi kurudiana nae hata kwa mtutu[emoji107][emoji107][emoji107]
Inaonekana hamkuachana kwa amani, alikuacha kipindi bado ulikuwa unapenda.