Kwanini mwanamke akugeuze mgodi

Kwanini mwanamke akugeuze mgodi

Kimenuka ehh...

Sasa wapi pakuchuna...
Kipi bora utapeliwe/uibiwe na dume mwenzio au uhonge kwa upendo huku roho inauma?

Acha tu mchunwe mmezidi utapeli wa mapenzi..

Apo ukute una vidada sita unavidanganya,afu vyote vinakuchuna.. Walah nakwambia lazima uwehuke...!!
 
hii inatokana na lengo kuu la kuanzisha uhusiano wenu, kama ulianza kumtafuta kwa kumpa hela basi hiyo ndiyo itakuwa sababu yenyewe kwani kila kitu huwa kama vile ulivyokizoesha. mapenzi ya kweli ni yale yanayodumu kwa hali zote na kama mwezio atahitaji chochote kutoka kwako basi huwa si kwa maslahi yake binafsi bali ni tatizo limemkuta au vinginevyo.

Staryte - Elimu, Burudani na Maendeleo
 
Back
Top Bottom