Halfizzle Ally
Member
- Feb 11, 2013
- 5
- 0
Hellooooooo.... wana jf jaman nataka kujua n kwanini baadhi ya galz wanawageuza maboyfrends au wanaume wao kuwa ndo mahali pakuchuma mahela?
Hellooooooo.... wana jf jaman nataka kujua n kwanini baadhi ya galz wanawageuza maboyfrends au wanaume wao kuwa ndo mahali pakuchuma mahela?
kama hamtaki gharama si mtumie revola?
kama hamtaki gharama si mtumie revola?
Kwani hela zenyewe mnazo basi au viji senti tuuuuuuu! mwenye hela wala hasemi anachunywa wale wenye vijisenti vyakubadilishia mbona wana kelelee....Hellooooooo.... wana jf jaman nataka kujua n kwanini baadhi ya galz wanawageuza maboyfrends au wanaume wao kuwa ndo mahali pakuchuma mahela?
Hellooooooo.... wana jf jaman nataka kujua n kwanini baadhi ya galz wanawageuza maboyfrends au wanaume wao kuwa ndo mahali pakuchuma mahela?
ha ha mwambie yeye anataka aitumie bila service hajui inahitaji ioshwe na sabuni na maji baridi teh teh sabuni atatoa wapi hayo maji yatapataje baridi bila kununua luku na kuyaweka kwa friji looooSi unatoa ili kuchangia huduma?
sawa sasa ndio mtugeuze mgodi jamani?na tutumie revola kwa nini, umeona wapi malaria ikatibiwa na panadol?kama hamtaki gharama si mtumie revola?
kama hamtaki gharama si mtumie revola?