Kwanini mwana FA anaogopeka, hasemwi na anaonekana ni kijana aliyefanikiwa! Wasanii wengine kuwa CCM inaonekana nongwa?

Kwanini mwana FA anaogopeka, hasemwi na anaonekana ni kijana aliyefanikiwa! Wasanii wengine kuwa CCM inaonekana nongwa?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,574
Reaction score
56,787
Wasanii wengine watu wamewa unfollow kwenye kurasa zao na wanatukanwa na kubezwa kisa kuonesha wanaunga mkono juhudi za chama

Huyu mwamba yeye wala hatetwi untouchable hata akifiwa na mpendwa wake sidhani kama wanaharakati wataenda kushusha kejeli kama tulivyofanya kwa mjomba.

Sababu ni ipi kwamba kisa jamaa ni Mkimya au kisa ni mwana hiphop mwenzetu aliyetoboa ndani ya system?
 
Ushamuona anajibujibu watu au anajihusisha na issue za kutafuta attention public? Au ana tabia za kichawa?
So kampeni huwa hafanyi na kama anafanya huwa hatoi shukran kwa mama?
 
Nahisi kwa sababu

1. Ni msomi sana huyu jamaa.
2. Hana skendo za usañii kabla na hata baada ya kupata ubunge.
3. Status yake ya matendo na maneno ipo clean
4. Hatafut attention za watu


Nafikiri yapo mamb mengine mengi tuu
Kwa hiyo kifupi watu hawachukui chama kihivyo Ila Tu baadhi ya watu ndo hawapendwi chamani
 
Mwana FA sio chawa na Hana Lugha mbaya kama vilaza wa CCM .
 
Nahisi kwa sababu

1. Ni msomi sana huyu jamaa.
2. Hana skendo za usañii kabla na hata baada ya kupata ubunge.
3. Status yake ya matendo na maneno ipo clean
4. Hatafut attention za watu


Nafikiri yapo mamb mengine mengi tuu
 
Back
Top Bottom