Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Mwl. Nyerere ktk Utawala wake alitumia mfumo wa Ujamaa ambao ni usoshalisti/ ukomomunisti lakini wakati huo huo yeye mwenyewe hakuwa Msoshalisti 100% kama akina Said Barre, Lumumba, Samora, Mengistu Haile Mariam, Nkrumah & Co. pia hakuwa Mbepari kwa 100% kama akina Kenyatta, & Co. Nchi yetu haikuwa ya kisoshalisti perse wala ya Kibepari, sasa kwanini alikuwa vuguvugu?