Kwanini muunganiko wa Samia na Nchimbi umekosa mvuto?

The Khoisan

Platinum Member
Joined
Jun 5, 2007
Posts
18,206
Reaction score
17,359
Naona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa.

Hapa sababu kubwa ni Maza na Nchimbi kutokuwa waongeaji au wapiga kampeni wazuri.

Kwa kweli Maza anaoongea kama vile anahutubia mkutano wa ziara badala ya kuongea kama vile anapiga kampeni.

Na haya mambo ya matrector million 10, akina Kangi Lugola kukata viuno jukwaani, mwingine kudai Watawaloga wanaomkataa Maza inawafanya waonekane hawana sera wala jipya kwa miaka 5 ijayo.
 
Kwasbabu Mama hana mvuto anashindana na nani?
 
Kila neno moja la mgombea wa CCM linaacha kicheko kwa watanzania na litapeleka kilimo kwa CHAUMMA OKTOBA 29
 
Naona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa.

Hapa sababu kubwa ni Maza na Nchimbi kutokuwa waongeaji au wapiga kampeni wazuri.

Kwa kweli Maza anaoongea kama vile anahutubia mkutano wa ziara badala ya kuongea kama vile anapiga kampeni.

Na haya mambo ya matrector million 10, akina Kangi Lugola kukata viuno jukwaani, mwingine kudai Watawaloga wanaomkataa Maza inawafanya waonekane hawana sera wala jipya kwa miaka 5 ijayo.
The fall of CCM 1995-2025.✍️📌
 
Usizinguke bure, cdm kugoma kushiriki huo uhuno automatically kumeondoa mvuto wa huo uchaguzi. Na hapa ni mwanzo, ikifika mwisho wa mwezi hizo kampeni zitakuwa zimepotea mvuto jumla.
 
Wote hao ni mafisadi tupu
 
Subiri watakapokiwa wanaapishwa napo useme, sherehe haikunoga! Ahahahahaha!!
 
Usizinguke bure, cdm kugoma kushiriki huo uhuno automatically kumeondoa mvuto wa huo uchaguzi. Na hapa ni mwanzo, ikifika mwisho wa mwezi hizo kampeni zitakuwa zimepotea mvuto jumla.

Chadema hawakugoma kushiriki. Technically, CCM na serikali yake wamewaonfoa Chadema kwenye box la kura kwa kukifungia chama kufanya kazi na kumpa Mwenyekiti kesi ya Uhaini.
 
Naona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa.

Hapa sababu kubwa ni Maza na Nchimbi kutokuwa waongeaji au wapiga kampeni wazuri.

Kwa kweli Maza anaoongea kama vile anahutubia mkutano wa ziara badala ya kuongea kama vile anapiga kampeni.

Na haya mambo ya matrector million 10, akina Kangi Lugola kukata viuno jukwaani, mwingine kudai Watawaloga wanaomkataa Maza inawafanya waonekane hawana sera wala jipya kwa miaka 5 ijayo.
Yaani kila kukicha munakuja na uzushi mpya
 
Sasa unafunga wapinzani wako kunyongwa halafu unapita mwenyewe kufanya kampeni, unagombea nini???

Watu siyo wajinga.

Ajiapishe tu ijulikane
 
Back
Top Bottom