Kwanini Mungu hakumlaani Adam alipokula tunda la katikati katika bustani ya Eden?

Malpighian

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2015
Posts
231
Reaction score
301
Habari wakuu.

Je Kuna sababu yoyote iliyomfanya Mungu aweze kumlaani nyoka na Hawa pale katika bustani ya Edeni na kutoku mlaani Adam ikiwa wote walikosa?

Ni kitu gani special Adam alikuwa nacho mpaka Mungu anaamua kuilaani ardhi kwaajili ya Adam na si laana juu ya Adamu?

Mwanzo 3:17 Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nalikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako;
 
Mungu hayupo, hizo ni hadithi za watu tu.

Katika hadithi za watu tu watunzi wanaweza kutunga vyovyote wanavyotaka.

Katika jamii ambazo mwanamke ni mtu wa kutupiwa lawama, jumba bovu lazima aangushiwe mwanamke.

Biblia ni kitabu cha mfumodume, hata huyo Mungu mwenyewe anaitwa Baba, kiume, never Mama, hivyo mwanamke lazima apewe lawama.
 
This is a confusing mythology. Verse moja inazuia tunda kuliwa, verse nyingine inasema zaaeni mkajaze nchi.
Kind of a stupid mythology
 
Disobedience of Adam it was planned by God so as God should be worshiped by man
Worship ni will, hivyo lazima Mungu aweke option ya mtu kuchagua kuabudu au kuacha kuabudu.
So hapakuwa na reasons za Adam kulaaniwa, bali shetani ndiye mlaaniwa maana ndiye alitumika kukamilisha mpango.
Vitu vyote ni planned, binadamu unaweza kumtumia punda wako kama target kwenye mazoezi ya kulenga mishale ukijiiandaa na vita vijavyo bila ya kushitakiwa na mtu yeyote achana na hawa wa animal rights fighters.
 
Kwahiyo mkuu Mungu hakupanga aabudiwe na mwanamke? According to your post (God should be worshiped by man)
 
This is a confusing mythology. Verse moja inazuia tunda kuliwa, verse nyingine inasema zaaeni mkajaze nchi.
Kind of a stupid mythology
Tunda halikupaswa kuliwa, ila namna ya kuzaliana ilikua kama vile mariam alivyomzaa Yesu..kwa neno, kwa kutamka. Majira kama haya utapata mtoto bila ya kukutana kimwili, huo ndio ulikua mpango wa Mungu.
 
Mungu hayupo, hizo ni hadithi za watu tu.

Katika hadithi za watu tu watunzi wanaweza kutunga vyovyote wanavyotaka.

Katika jamii ambazo mwanamke ni mtu wa kutupiwa lawama, jumba bovu lazima aangushiwe mwanamke.

Biblia ni kitabu cha mfumodume, hata huyo Mungu mwenyewe anaitwa Baba, kiume, never Mama, hivyo mwanamke lazima apewe lawama.
Mwanamke nae alimtupia lawama nyoka, sasa kwanini Adamu tuu. Ukiangalia kwenye hizo unazoziita story za kwenye biblia, Kaini alilaaniwa hali ni mwanaume, Nuhu alimlaani mtoto wake ambaye ni wakiume. Inakueje kwa Adamu hakulaaniwa?
 
Hujaona hiyo laana kwa Adam hapo kwamba atakula kwa uchungu mazao ya ardhi.
Mkuu haijasema adamu amelaaniwa, ila ardhi imelaani kwaajili ya adamu...Soma uelewe mkuu
 
Habari wakuu.

Je Kuna sababu yoyote iliyomfanya Mungu aweze kumlaani nyoka na Hawa pale katika bustani ya Edeni na kutoku mlaani Adam ikiwa wote walikosa?

Ni kitu gani special Adam alikuwa nacho mpaka Mungu anaamua kuilaani ardhi kwaajili ya Adam na si laana juu ya Adamu?

Mwanzo 3:17 Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nalikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako;
Adam na hawa awakulaaniwa Nafsi zao ila shetani ibilisi tu. Wala adamu na hawa awakufanya dhambi kula tunda wala awakuhesabiwa dhambi kwa kula tunda ....NDIYO MAANA UKIMSIKIA MTU ANAKUAMBIA KUWA YESU ALISULIBIWA KWA AJILI YA DHAMBI YA ASILI....JUA HUYO MTU NI MPUMBAVU NA MUONGO .kwa sababu dhambi no nini?
Dhambi ni kutenda mabaya huku ukijua mema na mabaya .
Hivyo adam na hawa awakuwa ni wenye kujua mema na mabaya walipo tenda kosa la kula tunda ....
kama kungekuwa ma dhambi ya asili ndani yetu basi tusinge kuwa tunazaliwa safi yaana t7sio na dhambi na watoto walio kufa wachanga wanakwenda jehanam , hivyo maneno ya yesu kuwa ufalme wa mbinguni ni wa watu kama watoto wadogo ni uongo...siyo kila kosa ni dhambi na siyo kila kosa ni uhalifu ....wakristo wengi ni wapumbavu awajui tofauti ya
1)dhambi kuingia duniani na
2)kutenda dhambi .
💥 adam na hawa kwa tendo la kula tunda dhambi iliimgia duniani yaani ilifungua milango ya kuweza kutenda dhambi na kuhesabiwa dhambi kwa sababu tayari walifunguliwa kujua mema na mabaya ..
Mungu anawaambia adamu na hawa tazama sasa mmejua mema na mabaya ....msitende mabaya tendeni mema ...mkitenda mabaya mtahesabiwa dhambi na mkitenda mema mtahesabiwa dhawabu ....

Ndani ya kutenda mema kukazaliwa..
1)dhawabu
2)utakatifu
3)pepo

Na ndani ya kutenda mabaya kukazaliwa
1)dhambi
2)laana
3)jehanam
 
Adam aliomba msamaha kwa makosa yake aliyoyafanya na Mungu akamsamehe ila alimtoa mbinguni akamleta duniani ambako ndiko makaazi ya kizazi cha Adam. Kuletwa duniani sio adhabu bali ni Mwenyezi Mungu alivyopanga kwamba Adam na watoto wake wataishi hapa.
Katika hii dunia ndio tumeumbwa (kwa udingo) na kwa hii dunia tunaishi na kufa ambako tunazikwa humu humu kwenye udongo. Na kisha siku ya mwisho tutafufuliwa tena tuwe hai tukitokea humo ardhini.
Baada ya kufufuliwa tutahukumiwa kwa matendo yetu tuliyotenda tukiwa duniani. Na kama matendo yako ni mazuri basi unapelekwa peponi huko alikokuwa Adam mwanzo kabla ya kuletwa duniani. Na kama matendo yako ni mabaya basi unaenda motoni.
 
Mwanamke nae alimtupia lawama nyoka, sasa kwanini Adamu tuu. Ukiangalia kwenye hizo unazoziita story za kwenye biblia, Kaini alilaaniwa hali ni mwanaume, Nuhu alimlaani mtoto wake ambaye ni wakiume. Inakueje kwa Adamu hakulaaniwa?
Hizo zote ni stories za kutungwa na watu tu mkuu.

Na ukiielewa jamii ya Wayahudi kwa kina, kila story ina sababu na maana yake katika muktadha wa jamii hiyo.

Ndiyo maana mpaka leo hakuna anayeweza kuthibitisha huyo Mungu yupo wala kutatua The Epicurean Paradox.

Tafuta kitabu kinaitwa "How To Read The Bible : A Guide To Scripture Then And Now" uone msomi wa Biblia aliyefundisha mpaka Harvard, Profesa James Kugel alivyoichambua hiyo Biblia na kukuonesha kuwa hizo habari za Adam na Eva ni hadithi tu, ni allegories za kuelezea jinsi jamii ya Wayahudi ikivyotoka katika maisha ya hunter gatherers kwenda kwenye maisha ya agriculture, na mambo kibao unayoyasoma kwenye Biblia ni allegories, hadithi, mifano, si vitu vilivyotokea.

Soma zaidi hapa.

"How to Read the Bible
A Guide to Scripture, Then and Now"

Scholars from different fields have joined forces to reexamine every aspect of the Hebrew Bible. Their research, carried out in universities and seminaries in Europe and America, has revolutionized our understanding of almost every chapter and verse. But have they killed the Bible in the process?

In How to Read the Bible, Harvard professor James Kugel leads the reader chapter by chapter through the “quiet revolution” of recent biblical scholarship, showing time and again how radically the interpretations of today’s researchers differ from what people have always thought. The story of Adam and Eve, it turns out, was not originally about the “Fall of Man,” but about the move from a primitive, hunter-gatherer society to a settled, agricultural one. As for the stories of Cain and Abel, Abraham and Sarah, and Jacob and Esau, these narratives were not, at their origin, about individual people at all but, rather, explanations of some feature of Israelite society as it existed centuries after these figures were said to have lived. Dinah was never raped — her story was created by an editor to solve a certain problem in Genesis. In the earliest version of the Exodus story, Moses probably did not divide the Red Sea in half; instead, the Egyptians perished in a storm at sea. Whatever the original Ten Commandments might have been, scholars are quite sure they were different from the ones we have today. What’s more, the people long supposed to have written various books of the Bible were not, in the current consensus, their real authors: David did not write the Psalms, Solomon did not write Proverbs or Ecclesiastes; indeed, there is scarcely a book in the Bible that is not the product of different, anonymous authors and editors working in different periods.

Such findings pose a serious problem for adherents of traditional, Bible-based faiths. Hiding from the discoveries of modern scholars seems dishonest, but accepting them means undermining much of the Bible’s reliability and authority as the word of God. What to do? In his search for a solution, Kugel leads the reader back to a group of ancient biblical interpreters who flourished at the end of the biblical period. Far from naïve, these interpreters consciously set out to depart from the original meaning of the Bible’s various stories, laws, and prophecies — and they, Kugel argues, hold the key to solving the dilemma of reading the Bible today.

How to Read the Bible is, quite simply, the best, most original book about the Bible in decades. It offers an unflinching, insider’s look at the work of today’s scholars, together with a sustained consideration of what the Bible was for most of its history — before the rise of modern scholarship. Readable, clear, often funny but deeply serious in its purpose, this is a book for Christians and Jews, believers and secularists alike. It offers nothing less than a whole new way of thinking about sacred Scripture.
 
Adam aliomba msamaha kwa makosa yake aliyoyafanya na Mungu akamsamehe ila alimtoa mbinguni akamleta duniani ambako ndiko makaazi ya kizazi cha Adam. Kuletwa duniani sio adhabu bali ni Mwenyezi Mungu alivyopanga kwamba Adam na watoto wake wataishi hapa.
Katika hii dunia ndio tumeumbwa (kwa udingo) na kwa hii dunia tunaishi na kufa ambako tunazikwa humu humu kwenye udongo. Na kisha siku ya mwisho tutafufuliwa tena tuwe hai tukitokea humo ardhini.
Baada ya kufufuliwa tutahukumiwa kwa matendo yetu tuliyotenda tukiwa duniani. Na kama matendo yako ni mazuri basi unapelekwa peponi huko alikokuwa Adam mwanzo kabla ya kuletwa duniani. Na kama matendo yako ni mabaya basi unaenda motoni.
Hapo pa adamu kuomba msamaha umetupiga mkuu. Hakuna sehemu kwenye biblia adamu aliomba msamaha. Laiti kama angeomba msamaha haya yote tusingepitia.
 
Hizo zote ni stories za kutungwa na watu tu mkuu.

Na ukiielewa jamii ya Wayahudi kwa kina, kila story ina sababu na maana yake katika muktadha wa jamii hiyo.

Ndiyo maana mpaka leo hakuna anayeweza kuthibitisha huyo Mungu yupo wala kutatua The Epicurean Paradox.

Tafuta kitabu kinaitwa "How To Read The Bible : A Guide To Scripture Then And Now" uone msomi wa Biblia aliyefundisha mpaka Harvard, Profesa James Kugel alivyoichambua hiyo Biblia na kukuonesha kuwa hizo habari za Adam na Eva ni hadithi tu, ni allegories za kuelezea jinsi jamii ya Wayahudi ikivyotoka katika maisha ya hunter gatherers kwenda kwenye maisha ya agriculture, na mambo kibao unayoyasoma kwenye Biblia ni allegories, hadithi, mifano, si vitu vilivyotokea.

Soma zaidi hapa.

"How to Read the Bible
A Guide to Scripture, Then and Now"

Scholars from different fields have joined forces to reexamine every aspect of the Hebrew Bible. Their research, carried out in universities and seminaries in Europe and America, has revolutionized our understanding of almost every chapter and verse. But have they killed the Bible in the process?

In How to Read the Bible, Harvard professor James Kugel leads the reader chapter by chapter through the “quiet revolution” of recent biblical scholarship, showing time and again how radically the interpretations of today’s researchers differ from what people have always thought. The story of Adam and Eve, it turns out, was not originally about the “Fall of Man,” but about the move from a primitive, hunter-gatherer society to a settled, agricultural one. As for the stories of Cain and Abel, Abraham and Sarah, and Jacob and Esau, these narratives were not, at their origin, about individual people at all but, rather, explanations of some feature of Israelite society as it existed centuries after these figures were said to have lived. Dinah was never raped — her story was created by an editor to solve a certain problem in Genesis. In the earliest version of the Exodus story, Moses probably did not divide the Red Sea in half; instead, the Egyptians perished in a storm at sea. Whatever the original Ten Commandments might have been, scholars are quite sure they were different from the ones we have today. What’s more, the people long supposed to have written various books of the Bible were not, in the current consensus, their real authors: David did not write the Psalms, Solomon did not write Proverbs or Ecclesiastes; indeed, there is scarcely a book in the Bible that is not the product of different, anonymous authors and editors working in different periods.

Such findings pose a serious problem for adherents of traditional, Bible-based faiths. Hiding from the discoveries of modern scholars seems dishonest, but accepting them means undermining much of the Bible’s reliability and authority as the word of God. What to do? In his search for a solution, Kugel leads the reader back to a group of ancient biblical interpreters who flourished at the end of the biblical period. Far from naïve, these interpreters consciously set out to depart from the original meaning of the Bible’s various stories, laws, and prophecies — and they, Kugel argues, hold the key to solving the dilemma of reading the Bible today.

How to Read the Bible is, quite simply, the best, most original book about the Bible in decades. It offers an unflinching, insider’s look at the work of today’s scholars, together with a sustained consideration of what the Bible was for most of its history — before the rise of modern scholarship. Readable, clear, often funny but deeply serious in its purpose, this is a book for Christians and Jews, believers and secularists alike. It offers nothing less than a whole new way of thinking about sacred Scripture.
Nashukuru mkuu ila siamini katika kusomea biblia kwasababu wapo waliosomea mpaka PhD na bado ukiwauliza maswali ya logic kuhusu biblia hawana majibu.
 
Back
Top Bottom