Mimi pia kuna Muda huwa nawaza kwa nini Mungu asimuue au ambadirishe Shetani awe na tabia kama atakazo Mungu na tuishi kwa amani, kwa nini anamuacha Shetani anatamba hivyo?
Mungu humjaribu binadamu ili aone kama anafuata na kutii sheria zake au anaishi kwa utashi wake binafsi.
Ili umjaribu mtu ni lazima uwe na standards (kanuni au sheria) kwa aajili ya kujua huyu nmemjaribu kaenda nje ya misingi au kabaki ndani ya misingi.
Hizi standards haziwezi kuwa sawa kwa mungu wa waislam na mungu wa wakristo sababu ya utofauti wa kanuni na sheria zake (katiba/maandiko)
Why umjaribu mtu
Ni kwasababu binadamu ni kiumbe hatari ni kiumbe muovu kiasili hivyo basi lazima uwe na standards (maandiko ya kumfunga).
Mungu mwenyewe ni mtu ila ni mtu smart ili awaongoze vyema wengine anahitaji sheria za kuwa control kuwafunga kuwahukumu hata kuwaua kwa kuwachoma moto wasiotii sheria zake na kuishi watakavyo. Hizo kanuni na sheria zinasadifu jinsi binadamu alivyo, huwezi kutunga sheria au kanuni ya kuzuia mtu asidhini kama hakuna wazinzi, sheria hutungwa ku counter real existing problem
Mimi pia kuna Muda huwa nawaza kwa nini Mungu asimuue au ambadirishe Shetani awe na tabia kama atakazo Mungu na tuishi kwa amani, kwa nini anamuacha Shetani anatamba hivyo?
Kumbukumbu la Torati 8 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
² Nawe utaikumbuka njia ile yote Bwana, Mungu wako aliyokuongoza miaka hii arobaini katika jangwa, ili akutweze, kukujaribu kuyajua yaliyo moyoni mwako, kwamba utashika amri zake, au sivyo.
³ Akakutweza, akakuacha uone njaa, akakulisha kwa mana, usiyoijua wewe wala baba zako hawakuijua; apate kukujulisha ya kuwa mwanadamu haishi kwa mkate tu, bali huishi kwa kila litokalo katika kinywa cha Bwana.