Kwanini mtoaji rushwa naye asiwajibishwe?

manock

Member
Nov 7, 2016
97
37
Habari wanaJF.

Naomba kujua, kila siku tunalalamikia swala la rushwa lakini tunamuhukumu mpokeaji tu, mtoaji hatumgusi. Kwanini wasikamatwe wote?

Pia rushwa ya ngono hii itaisha au ni endelevu?
 
section 15 of PCCA No.11/2007
 
Back
Top Bottom