Kwanini msafara wa gari za CHADEMA huamsha watu sana?

Kwanini msafara wa gari za CHADEMA huamsha watu sana?

Chadema Ni Chama au Saccos???[emoji3][emoji3][emoji3]
Iwe CHAMA/SACCOSS nitabaki nayo milele, ni wazi wana msisimuko wa ajabu. Na kwa taarifa yako CHADEMA ina hazina kubwa ya wanachama wenye akili na wanaojielewa kuliko huko kwenu.
 
Chadema inapofanya operation zake, inaamshaamsha, hapo serikali inapata nafasi ya kuona wapi inakosea. Lakini kutowapa jukwaa la kisiasa kunarudisha nyuma harakati za maendeleo. Nitakupa mfano mdogo, kama Chadema wangekuwa jukwaani kwa muda mrefu, vijana wengi wangepata ajira na stahiki za watumishi zingelipwa kwa asilimia kubwa.
Umeona mbali sana
 
Back
Top Bottom