Kwanini mradi wa Dege usiuzwe jengo moja moja?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,644
Reaction score
20,505
GT
Nimeweza kwanini yameachwa hivi nini hatma yake. Je hii pesa ndo imezikwa namna hii?
Nchii hii haina plan kabisa huwezi kuacha mradi kama huu burebure.
.
IMG-20251024-WA0031.jpg
 
GT
Nimeweza kwanini yameachwa hivi nini hatma yake. Je hii pesa ndo imezikwa namna hii?
Nchii hii haina plan kabisa huwezi kuacha mradi kama huu burebure.
.
View attachment 3492949
ILIKUWA NI bonge LA MIRADI KWA WATANZANIA, the best ever, ukahujumiwa WAKATI WA hayati, ulianzishwa NA Jk. Hayati ALIKUWA anadanganywa SANA. NI kama TU ulivyohujumiwa MIRADI WA walimu 8000 WA MASOMO ya Kompyuta NA Hesabu WALIOKUWA KULE UDOM. MIRADI HUU NAO VILE VILE ulianzishwa NA Jk, ukahujumiwa WAKATI WA hayati KWA WANAFUNZI WOTE 8000 kufukuzwa CHUONI KWA MADAI KUWA hawana qualifications, NA PASIPO kujua HATA KATIKA HILI PIA hayati JPM ALITOKA baraka.
NINGEKUWA Nina MAMLAKA kama ya mwenyezi MUNGU., BAADA YA maisha ya HAPA DUNIANI, ILIKUWA NI LAZIMA JK anyooshe MOJA KWA MOJA KWENDA Mbinguni
 
Nyoosha mkono wa kulia juu, wa kushoti weka kifuani, kisha tamka Kwa sauti "WEWE NI MPUUZI"!
 
ILIKUWA NI bonge LA MIRADI KWA WATANZANIA, the best ever, ukahujumiwa WAKATI WA hayati, ulianzishwa NA Jk. Hayati ALIKUWA anadanganywa SANA. NI kama TU ulivyohujumiwa MIRADI WA walimu 8000 WA MASOMO ya Kompyuta NA Hesabu WALIOKUWA KULE UDOM. MIRADI HUU NAO VILE VILE ulianzishwa NA Jk, ukahujumiwa WAKATI WA hayati KWA WANAFUNZI WOTE 8000 kufukuzwa CHUONI KWA MADAI KUWA hawana qualifications, NA PASIPO kujua HATA KATIKA HILI PIA hayati JPM ALITOKA baraka.
NINGEKUWA Nina MAMLAKA kama ya mwenyezi MUNGU., BAADA YA maisha ya HAPA DUNIANI, ILIKUWA NI LAZIMA JK anyooshe MOJA KWA MOJA KWENDA Mbinguni
daah...hiv hapa bongo kweli kabisa hakuna watu ambao wenyewe wana kazi ya kushughulika na wapuuzi wanaohujumu miradi ambao inaonekana kabisa hii ipo wazi ni kwa manufaa makubwa kwa taifa...yaaani aaah nisiseme mengi aiseeh
 
Back
Top Bottom