Zitto amezidi majigambo ya kishamba yule ndiyo maana wenzake wanampotezea tu. Akijirekebisha tutakuwa tunampa akaimu, asipojirekebisha alie tu.
Mara kwa mara tumeona na kusikia John Mnyika akikaimu nafasi ya Katibu Mkuu wa CHadema.
Protokali ziko wazi kuwa Naibu Katibu MKuu hupaswa kukaimu nafasi ya Katibu Mkuu pindi katibu Mkuu anapokuwa hayupo.
Hili halifanyiki Chadema. Je Zitto haaminiki? Hana uwezo wa kushika nafasi hiyo nyeti?
Na kwanini yeye mwenyewe yupo kimya halalamiki mtu wa chini yake kuwa bosi wake kwa muda chamani?
Slaa(PhD) na Zitto ni member humu, nawaomba watatue huu utata
Hayo Maswali yanaweza kujibiwa na Viongozi tu wa Chadema, Unless wengine mnaojibu ni Viongozi pia! - William
"Common Sense is not common to Common People Like You"Wakuu mimi sio gamba na sitakuwa gamba. Swali hili ni muhimu kujibiwa kwa umakini. Zitto mwenyewe alishawahi kunukuliwa akilalamika udini unamtengenezea maadui ndani ya chama. Na hili la Mnyika kukaimu sio mara ya kwanza. Hii sababu ya ugonjwa sioni kama ina mantiki kwa sababu kwenye ukatibu hakuna kazi ya kubeba zege, ni busara na maamuzi tu. Kama Zitto aliweza kuongea na media alipotoka India na bado akaenda kufungua kongamano la vijana wa kiafrika lililoandaliwa kwa ushirikiano na Bavicha sioni kama ana ugonjwa unaomfanya asiweze kukaimu ukatibu mkuu. Hata kama Dokta Slaa alienda kuuguza familia kipindi ambacho Zitto alikuwa India bado Zitto baada ya kurudi alipaswa kukaimu hiyo nafasi.
Kuna jambo cdm hawataki kuliweka wazi kuhusu Zitto. Ni kama vile haaminiki!
Kilichobaki ni kuhoji kwa nini Mnyika alivaa sare na rais wakati wengine wamepiga magwanda.................Hapo hata wangetumwa mapadri au mashekhe hayo ni ya chadema na wanayajua wenyewe.............Udini huu hautatupeleka kokokte zaidi ya kujenga chuki miongoni mwetuMkuu mie nayaita haya majungu kwa kweli .Maan wewe ulitakiwa uende Chadema ukasemee kule hapa ni JF si Chadema.Pili wewe ni nanio hadi uhoji utaratibu wa Chadema na nambo yao ?Wao wana utaratibu wao kama ule wa CCM na mafisadi na kusema leo kujibua gamba kesho wanasema hatukuwa na mana hiyo mkuu lete hoja acha vioja hii ni JF .
Hili jibu lina mashaka sana. Wapo watu wanaosema tuache kujadili mambo ya cdm. Hao watu wana ubongo wa jongoo. Tumejadili hapa dhana ya kujivua gamba mara kadhaa, tumejadili hapa issue ya Mabatia na mgogoro ndani ya NCCR Manunuzi, tumejadili GOGORO la Hamad Rashid na Maalim Seif ndan ya CCM-B. Leo ni dhambi kujadili mwenendo wa mambo ndan ya cdm?zitto ni mgonjwa,otherwise angekaimu
Zitto bado ana ID