Mh, kwani we mtoa mada una marital status gani? min naona majibu unayo, kama uko single subiri uoe au kuolewa ndipo uanze kula tunda, lkn baada ya hapo usilete tena thread ya kuomba msaada tukusaidie mawazo ya ulichokutana nacho. na kumbuka baada ya ndoa hakuna kuachana.